Nataka kuanza kunywa pombe, naanzaje?

Nataka kuanza kunywa pombe, naanzaje?

Huu ni unyanyasaji... nawaomba moderator wafungie haya maneno sababu yanatunyong'onyesha sisi wanywaji
Haaahaa nilikua natania TU Mimi MWENYEWE ni mnywaji Ila sijafikia kuwa mwandamizi

Mimi ni mnywaji junior sitaki kuwa senior

Screenshot_20241112-172403.png
 
Nunua bia yoyote; fungua kizibo, omba tissue futa mdomo wa chupa kwa umakini. Fungua kinywa chako, bada mdomo wa chupa na lips zako kisha mimina bia mdomoni kwako. Furahia.
 
Najua ni asili yetu binadamu kutafuta kuonekana na wenzetu, lakini zingatia athari zinazoweza kutokea...
 
Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.

Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia nia, no way back. Haiwezekani lazma namimi niwe mmoja wao wakuu.

Nimejiwasilisha hapa mnipe abc za kufata katika safari yangu hii yenye matumaini tele.

Wapinga maendeleo na haters wote muingie humu kwanza 🚮

View attachment 3355810
Hapana.Usianze.Utatumalizia pombe yetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom