Sema ukristo una dini nyingi, hata sabato ina aina tofauti ila mimi niko SDA member!Anyway
Kwa nini hujawaza kujiunga na Sabato?
Jipe muda pia kuusoma uislam,ndiyo dini pekee iliyonyooka na ndiyo kimbilio pekee la watu wengi Duniani.
Soma mafundisho halisi ya uislam usiwasome waislam.
Sasa hii cross-examination inahusiana nini na mada mkuu!!!Kabla ya kuwa Mkristo ulikuwa dini gani?
Good, hata mimi nawaza kujiunga Sabato. At the moment niko bado Catholic ila sishirikiSema ukristo una dini nyingi, hata sabato ina aina tofauti ila mimi niko SDA member!
Huwa hamna tatizo na imani zengine tofauti na hizo dini mbili tu, ndio imani pekee ambazo hutumika kupinga dini zote na miungu yote.Ubudha una make sense kuliko Ukristo na Uislamu
Ni ushahidi mungu wa Wayahudi mliopewa Wakristo na Waislamu hayupo, ni myth tu.Sema ukristo una dini nyingi, hata sabato ina aina tofauti ila mimi niko SDA member!
Yah! kikubwa ni kuwa open minded kwenye ukatoriki wengi hawajui nini kilicho chini ya kapeti,Good, hata mimi nawaza kujiunga Sabato. At the moment niko bado Catholic ila sishiriki
Hapana mkuu!Ni ushahidi mungu wa Wayahudi mliopewa Wakristo na Waislamu hayupo, ni myth tu.
Kwakweli hata Mimi nampongeza sana kuacha dini za kishetani za kikristo ..Bora hata uislamu...ukristo ni ushenzi tu ..Hakika umefumbuka na umekuwa mtu sasa
Imani nyingine tofauti na hizi mbili za Ukristo na Uislamu zilizotoka kwenye dini ya Kiyahudi (Abrahamic religions) hazina madai kwamba zenyewe ndio njia ya pekee na ukweli pekee au wote na nyinginezo kama hii ya Budha ni filosofia ya maisha zaidi kuliko dini ndio maana hazialiki mtifuano mkubwa na Atheists na Agnostics.Huwa hamna tatizo na imani zengine tofauti na hizo dini mbili tu, ndio imani pekee ambazo hutumika kupinga dini zote na miungu yote.
Unajua Jina la Yesu ni Nazare, maana yake The TruthYah! kikubwa ni kuwa open minded kwenye ukatoriki wengi hawajui nini kilicho chini ya kapeti,
ila ukifatilia kwa lengo la kujifunza nasio kutetea dini itakusaidia kupima UKWELI...
Ukiomba mambo yasipotokea utaacha kumuamini Yesu ?Hapana mkuu!
kwa nini tukiomba kwa jina la YESU mambo yanatendeka??
Hapana mkuu!Ukiomba mambo yasipotokea utaacha kumuamini Yesu ?
😅😅Jipe muda pia kuusoma uislam,ndiyo dini pekee iliyonyooka na ndiyo kimbilio pekee la watu wengi Duniani.
Soma mafundisho halisi ya uislam usiwasome waislam.
Na hii ndiyo sababu inayofanya maombi kutokuwa uthibitisho wa chochote kuhusu mungu.Hapana mkuu!
kwa sababu amesha sema, ombeni bila kukoma!
Sawa hazialiki mtifuano ila nilichosema ni kwamba hizo dini mbili ndio hutumika kupinga imani zote(hadi huo ubudha) na miungu yote.Imani nyingine tofauti na hizi mbili za Ukristo na Uislamu zilizotoka kwenye dini ya Kiyahudi (Abrahamic religions) hazina madai kwamba zenyewe ndio njia ya pekee na ukweli pekee au wote na nyinginezo kama hii ya Budha ni filosofia ya maisha zaidi kuliko dini ndio maana hazialiki mtifuano mkubwa na Atheists na Agnostics.
Kuna Atheists Wabudha,Sawa hazialiki mtifuano ila nilichosema ni kwamba hizo dini mbili ndio hutumika kupinga imani zote(hadi huo ubudha) na miungu yote.