Psalm_27
JF-Expert Member
- Aug 27, 2026
- 1,648
- 3,287
ndio mkuu!Yalitendeka?
ndio mkuu!Yalitendeka?
Kama yapi?Kuna maombi mengine hayasikilizwi mkuu
Mungu wa Ibrahim(EL, Yahweh) alikuwa mmojawapo wa miungu ya Wakanaani(Canaanite gods), nitaleta uzi kuhusu hili.Quran 29:25
" Na (Ibrahim) alisema: Hakika nyinyi mmeyashika masanamu badala ya Mwenyezi Mungu kwa mapenzi yaliyo baina yenu katika uhai wa duniani. Kisha Siku ya Kiyama mtakataana nyinyi kwa nyinyi, na mtalaaniana nyinyi kwa nyinyi. Na makaazi yenu ni Motoni. Wala hamtapata wa kukunusuruni."
Mungu wa Ibrahim (EL, Yahweh) alikuwa mmojawapo wa miungu ya Wakanaani (Canaanite gods, pantheon), nitaleta uzi kuhusu hili."Usiwe.....na miungu......mingine ila.....MIMI"
KUTOKA 20:3.
Ok!! ngoja nikusubiri ulete, kabla sijakupinga mkuu!Mungu wa Ibrahim (EL, Yahweh) alikuwa mmojawapo wa miungu ya Wakanaani (Canaanite gods, pantheon), nitaleta uzi kuhusu hili.
Dennis Robert Shughuru
Ukimwomba baba ako hakununulie baiskeli na asipo kununulia inabadilisha nafasi yake kuwa si baba kwako na wala hayupo?Yesu hatendi lolote mimi ni shahidi, nimemuomba sana hajawai kunipa jibu lolote. Ni story tu hizo.
Chimbuko haswa la Rosary na Tasbihi ni huko vimekopwa kutoka huko, kwa hio yale uliyofundishwa huku baadhi yamechukuliwa hukoNimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake.
Naona afya ya akili inaanza taratibuu kukunyemeleaaNimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake.
Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho ninayoamini inaweza kunifaa.
Kwa waliopo Dar es Salaam:
- Kuna temple/nyumba ya ibada ya Buddhist hapa?
- Nianzie wapi na niende kumuona nani?
- Kuna masharti yoyote kwa mtu anayetaka kujiunga?
- Mtu mweusi Mwafrika/Tanzania anaruhusiwa kujiunga?
Naomba mwenye uzoefu anielekeze bila judgment. Nataka kuanza kujifunza na kuelewa vizuri, lakini nia yangu ni kujiunga na Buddhism.
Mwanangu omba kwa jina la Mizimu ya kweenu, hao ma-Buddha unaotaka kujiunga nae wanamuabudu Buddha yaan ni limzimu fulani lililotangulia mbele ya haki linapiga sana Hamsa, kwa hio wewe angalia Babu mzaa Babu na mzaa Babu yako na mzaa Babu yake na mzaa Babu yake mtafute yule Mwanzilishi wa kizazi cha kwenu alikua anaitwa nani then anza kumuomba huyo ndio Buddha wenuYesu hatendi lolote mimi ni shahidi, nimemuomba sana hajawai kunipa jibu lolote. Ni story tu hizo.
TawireeeeeeeeeAsante sana mkuu. Hii ndiyo information niliyokuwa natafuta. Nitaanza kwa kufika Mindu na kuongea na viongozi wa temple. Nikifanikiwa kupata maelekezo mazuri nitashare hapa.
Huu ni uongoMungu wa Ibrahim (EL, Yahweh) alikuwa mmojawapo wa miungu ya Wakanaani (Canaanite gods, pantheon), nitaleta uzi kuhusu hili.
Dennis Robert Shughuru
Nenda karibu na Muhimbili mtaa wa Malik na MinduMimi nipo serious mkuu
Kiswahili kimenitesa kujifunza, sembuse kiarabu?😅😅
mshamba_hachekwi kesho kanzu uende kuswali ijumaa
Baiskeli ni anasa, tumia mfano wa chakula, mavazi au dawa za matibabu.Ukimwomba baba ako hakununulie baiskeli na asipo kununulia inabadilisha nafasi yake kuwa si baba kwako na wala hayupo?
Kwamba aache hela ya kuchoma maiti moto?kwanini!Usisahau kabla ya kufa waachie ndugu zako pesa ya kuchoma mwili wako.
Kuchoma mwili kuna gharama kubwa tofauti na kuchimba shimo na kufukia.
Dini ya Kiyahudi (Judaism) ilianza kama dini ya kuabudu miungu mingi (Polytheism) ikasonga kuwa dini ya kumuabudu mungu mmoja bila kuwakataa au kupinga miungu wengine (monolatry/ Henotheism) mwishowe ndipo ikawa dini ya mungu mmoja tu na kupinga miungu wengine (monotheism).Huu ni uongo
Yehova sio mungu wa wakanaani- haiwezikani Mungu wa wakaanani awakataje uzao wa ibrahimu kuwaoa wakaanani mungu kama ni mmoja hawezi kuwa na ndimi mbili
Kuna mambo mengi ya kiroho hujui ndo maana hujui ushike lipe
Wabudha hawamuombi au kumuabudu Buddha, wanajifunza tu na kumheshimu kama mwalimu mkuu ila hawamtambui Buddha kama mungu.Mwanangu omba kwa jina la Mizimu ya kweenu, hao ma-Buddha unaotaka kujiunga nae wanamuabudu Buddha yaan ni limzimu fulani lililotangulia mbele ya haki linapiga sana Hamsa, kwa hio wewe angalia Babu mzaa Babu na mzaa Babu yako na mzaa Babu yake na mzaa Babu yake mtafute yule Mwanzilishi wa kizazi cha kwenu alikua anaitwa nani then anza kumuomba huyo ndio Buddha wenu
Utapata zero 🥚 😅Kiswahili kimenitesa kujifunza, sembuse kiarabu?