Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

Kuchoma maiti ni nafuu zaidi kuliko kuzika.
Unajua gharama za kuchoma mwili? Mwili hauchomwi kwa pumba za mpunga.
Gharama za kuchoma ni lazima(uniform) sio kuzika ambako hata ukizika kwa mkeka,shuka ni sawa tu sio lazima jeneza la mninga?
Just Google kuona gharama za kuchoma maiti uje hapa usemwe neno.
 
Hahahahaaaa kwa nini mkuu! what a reason behind?
Hata mimi sijui naona vinyago vya baadhi vina matumbo, hujawahi kuonq?

Kiongozi wao alikuja Dar kipindi cha nyuma sasa sijajua kama walikuwa ni wahindu au wa budha.

Alibebwa juu ya kiti anazunguka posta, uchi wa mnyama.
 
Duh! nadhani ndio akina (gaia mungu mke) ndio wako hukohuko, sasa uchi unahusianaje.... hatari sana.
 
Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake.

Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho ninayoamini inaweza kunifaa.

Kwa waliopo Dar es Salaam:

  • Kuna temple/nyumba ya ibada ya Buddhist hapa?
  • Nianzie wapi na niende kumuona nani?
  • Kuna masharti yoyote kwa mtu anayetaka kujiunga?
  • Mtu mweusi Mwafrika/Tanzania anaruhusiwa kujiunga?

Naomba mwenye uzoefu anielekeze bila judgment. Nataka kuanza kujifunza na kuelewa vizuri, lakini nia yangu ni kujiunga na Buddhism.
Kibaha
 
Back
Top Bottom