Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

Sema ukristo una dini nyingi, hata sabato ina aina tofauti ila mimi niko SDA member!
Ukristo hauna dini nyingi ila una madhehebu mengi, hata wasabato tu bado kuna wengine wanasema tofauti na yanayoendelea leo ndani ya kanisa hilo hilo kama kweli kabisa biblia ni halisi basi ile isaya 14 ina uzito mkubwa sana mi naamini wengi sana wanafanya ibada ila sivyo inavyotakiwa.
 
Ngoja nijiandae nikafungue SABATO.

Uwe na siku njema yenye furaha tere mkuu! na log out!!!

Karibu pia mkuu!
 
Ngoja nijiandae nikafungue SABATO.

Uwe na siku njema yenye furaha tere mkuu! na log out!!!

Karibu pia mkuu!
Mnajikuta sana kama mbingu ya kwenu peke yenu enyi wanafiki, pastor D. Mmbaga akiwaambia huwa mnachukia mno enyi wanafiki.
 
Hakuna Qiyama, hizo ni porojo to za Muhammad.
[/QUOTE

Quran 6:31

"Hakika wamepata hasara walio kanusha kukutana na Mwenyezi Mungu, mpaka ilipo wajia Saa kwa ghafla, wakasema: Ole wetu kwa tuliyo yapuuza! Nao watabeba mizigo yao juu ya migongo yao. Ni maovu hayo wanayo yabeba"
 
Hakuna Qiyama, hizo ni porojo to za Muhammad.

Quran 6:31

"Hakika wamepata hasara walio kanusha kukutana na Mwenyezi Mungu, mpaka ilipo wajia Saa (ya kifo) kwa ghafla, wakasema: Ole wetu kwa tuliyo yapuuza! Nao watabeba mizigo yao juu ya migongo yao. Ni maovu hayo wanayo yabeba"
 
Jipe muda pia kuusoma uislam,ndiyo dini pekee iliyonyooka na ndiyo kimbilio pekee la watu wengi Duniani.
Soma mafundisho halisi ya uislam usiwasome waislam.
Bora mtu aachr kuamini kuliko hii mental illness
 
Ukiondoa kiyama,adhabu ya kabuli ni hogu gani nyingine tena mnaitumia kurubuni watu wawe katika dini yenu.
kama unaona kuelezwa mambo yajayo ni ulaghai basi baki katika njia yako....uzuri ni kuwa sisi sote tutakufa na tutakwenda jua kama haya yanayosemwa ni uongo ama laaa....

Hii ni imani kuhusiana na masuala ya unseen (yaliyofichikana) ..mwisho tutajua nani imani yake ilimfaa kabla ya kufa kwake.

kwasasa Mungu anasema hivi

Quran 15:3
" Waache wale, na wastarehe, na iwazuge tamaa. Watakuja jua"
 
Nenda palm village kina temple pale au wasiliana na Lady Gaogao +393474726471 WhatsApp
 
Back
Top Bottom