Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake.

Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho ninayoamini inaweza kunifaa.

Kwa waliopo Dar es Salaam:

  • Kuna temple/nyumba ya ibada ya Buddhist hapa?
  • Nianzie wapi na niende kumuona nani?
  • Kuna masharti yoyote kwa mtu anayetaka kujiunga?
  • Mtu mweusi Mwafrika/Tanzania anaruhusiwa kujiunga?

Naomba mwenye uzoefu anielekeze bila judgment. Nataka kuanza kujifunza na kuelewa vizuri, lakini nia yangu ni kujiunga na Buddhism.
Una ajira au shughuri yoyote inayokupatia kipato? Tuanzie hapo kwanza ili tuone usaidiwe vipi.
 
Dini ya Kiyahudi (Judaism) ilianza kama dini ya kuabudu miungu mingi (Polytheism) ikasonga kuwa dini ya kumuabudu mungu mmoja bila kuwakataa au kupinga miungu wengine (monolatry/ Henotheism) mwishowe ndipo ikawa dini ya mungu mmoja tu na kupinga miungu wengine (monotheism).

Maandiko ya Wayahudi ya biblia ya agano la kale uliyozoea kuyasoma na uliyokaririshwa yameandikwa kwa kujikita stage ya tatu wakati dini ya Kiyahudi ilipokuwa tayari imehamia katika monotheism kikamilifu, hata hivyo kuna maandiko kadhaa kwenye vitabu ya agano yanaonyesha masalia ya ushahidi wa Israel kuwa walikuwa wanaabudu miungu mingi (polytheism).
Ukitoa hizo tuhuma zako za uongo uwe unatoa na reference ni kama unaropoka alafu unataka watu wakuamini mambo sio marahisi hivyo
 
Kuna Atheists Wabudha,
Ubudha uko karibu na Atheism na Agnosticism kwa sababu hauna personal god/gods wa kufanyia Ibada.
Hata atheist christians wapo pia, hao atheists wabudha huchagua ya kufuata na mengine huyaacha katika ubudha kama karma, rebirth lakini pia kwenye ubudha ipo imani ya miungu pia.
 
Ukristo na Uislamu navijua toka mtoto. Ukristo nimeuishi, ila kuna vitu nilivyozidi kukua nikaanza kutokuendana navyo.

Uislamu pia nimewahi kuujua, lakini ukweli sijawahi kuvutiwa na baadhi ya mafundisho yake wala lifestyle ya Muhammad. Ndiyo maana kwa sasa nimevutiwa na Buddhism na nataka kuifahamu kwa kina.
Ni vizuri mkuu unatafuta unachoona kitakuwa sahihi kwako kuliko wengine hutumia muda mwingi au nguvu kubwa kukosoa imani zengine ili ndio kujihisi anachoamini au huo msimamo anaoufuata ndio sahihi.
 
Ukitoa hizo tuhuma zako za uongo uwe unatoa na reference ni kama unaropoka alafu unataka watu wakuamini mambo sio marahisi hivyo
1. The Early History of God: Yahweh and the Other Deities in Ancient Israel by Mark S. Smith

2. The Origins of Biblical Monotheism: Israel's Polytheistic Background and the Ugaritic Texts by Mark S. Smith

3. Yahweh and the Gods and Goddesses of Canaan by John Day

4. Twilight of the Gods: Polytheism in the Hebrew Bible by David Penchansky
 
Usisahau kabla ya kufa waachie ndugu zako pesa ya kuchoma mwili wako.

Kuchoma mwili kuna gharama kubwa tofauti na kuchimba shimo na kufukia.
Ukiwa mbudha sio lazima ufanyiwe cremation utazikwa kulingana na tamaduni ya sehemu iliyopo mfano wajapani na wathai wanachoma kwa kuiga mfano wa budha mwenyewe tibet wanakuacha uliwe na ndege na meneo mengine wanafukia hivo chaguo la Aina ya mazishi utachagua wewe mwenyewe kwenye wosia wako
 
1. The Early History of God: Yahweh and the Other Deities in Ancient Israel by Mark S. Smith

2. The Origins of Biblical Monotheism: Israel's Polytheistic Background and the Ugaritic Texts by Mark S. Smith

3. Yahweh and the Gods and Goddesses of Canaan by John Day

4. Twilight of the Gods: Polytheism in the Hebrew Bible by David Penchansky
Historia ya Yahweh ipo tu kwenye biblia hakua source nyingine
Hao wote wame-quote biblia hawawezi kuwa aunthetic

Waje na source nyingine tofauti na biblia huwezi ikosoa biblia bila kuja na alternative na hili ndo tatizo kubwa la atheist
 
1. Yahweh before Israel by D.E. Fleming

2. Yahweh: Origin of a Desert God by R.D. Miller II
 
Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake.

Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho ninayoamini inaweza kunifaa.

Kwa waliopo Dar es Salaam:

  • Kuna temple/nyumba ya ibada ya Buddhist hapa?
  • Nianzie wapi na niende kumuona nani?
  • Kuna masharti yoyote kwa mtu anayetaka kujiunga?
  • Mtu mweusi Mwafrika/Tanzania anaruhusiwa kujiunga?

Naomba mwenye uzoefu anielekeze bila judgment. Nataka kuanza kujifunza na kuelewa vizuri, lakini nia yangu ni kujiunga na Buddhism.
Anza kula pilipili kwa wingi na chapati kavu kwanza
 
Wasiliana na Mshana Jr
 
The Kuntillet Ajrud inscriptions
Hizo stage unazopitia mimi nimeshapita zaidi ya miaka 10 iliuyopita sijisifii au kukudharau hapana ila nikiangalia nyuzi zako nyingi zinazohusiana na mambo ya dini bado uko nyuma sana na usipokuwa makini utapepetwa kama mchele kwenye hii dunia iliyojaa udhalimu
 
1. Yahweh before Israel by D.E. Fleming

2. Yahweh: Origin of a Desert God by R.D. Miller II
Eti yahweh before israel muulize source aliyotumia ni biblia sababu hakuna kitabu chochote duniani kilichomuelezea Yahweh tofauti na biblia hakuna hata kimoja

Hao ni atheist ambao wanachuki na ukristo kwa hiyo wanafanya kila kitu ku-discredit Ukristo
 
Ni hivyo pia kwa Allah, anapatikana kwenye kitabu cha Quran, huwezi kukuta vitabu vya kabla ya Quran vikimzungumzia ila haizuii uchambuzi wake na upo uchambuzi wa kutosha kuonyesha alikuwa mungu mmojawapo wa pre-Islamic societies.
Ni hivyo pia kwa Brahma, anapatikana kwenye Vedanta.
Kabla ya vitabu hivyo vyote unatumia archeology, comparative historical research na comparative religion.
 
Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake.

Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho ninayoamini inaweza kunifaa.

Kwa waliopo Dar es Salaam:

  • Kuna temple/nyumba ya ibada ya Buddhist hapa?
  • Nianzie wapi na niende kumuona nani?
  • Kuna masharti yoyote kwa mtu anayetaka kujiunga?
  • Mtu mweusi Mwafrika/Tanzania anaruhusiwa kujiunga?

Naomba mwenye uzoefu anielekeze bila judgment. Nataka kuanza kujifunza na kuelewa vizuri, lakini nia yangu ni kujiunga na Buddhism
Nguruwe ameogeshwa vizuri sasa ameamua kurudi na kulukaluka kwenye matope
 
Back
Top Bottom