Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

mimi mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2019
Posts
330
Reaction score
706
Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake.

Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho ninayoamini inaweza kunifaa.

Kwa waliopo Dar es Salaam:

  • Kuna temple/nyumba ya ibada ya Buddhist hapa?
  • Nianzie wapi na niende kumuona nani?
  • Kuna masharti yoyote kwa mtu anayetaka kujiunga?
  • Mtu mweusi Mwafrika/Tanzania anaruhusiwa kujiunga?

Naomba mwenye uzoefu anielekeze bila judgment. Nataka kuanza kujifunza na kuelewa vizuri, lakini nia yangu ni kujiunga na Buddhism.
 
IMG-20260327-WA0129.jpg
 
Ukifanikiwa na mimi nishtue hiyo ndio huwa naona ni dini ya ukweli sana na haki, tuachane na upuuzi wa kikristo na uislamu.
 
Back
Top Bottom