GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 2,008
- 7,361
Habari wakuu,
Kuna wale wataalamu wanaotengeneza viatu pamoja na soli zake kuanzia hatua ya kwanza, yaani wenye viwanda vyao.
Naomba kujua, hapa Dar es Salaam wanapatikana wapi?
Nashukuru.
Nenda salasala Kuna kiwanda kinaitwa woiso original productsHabari wakuu,
Kuna wale wataalamu wanaotengeneza viatu pamoja na soli zake kuanzia hatua ya kwanza, yaani wenye viwanda vyao.
Naomba kujua, hapa Dar es Salaam wanapatikana wapi?
Nashukuru.
Thanks MkuuNenda salasala Kuna kiwanda kinaitwa woiso original products
🙏 Amen, pamoja sana.🙏Thanks Mkuu
Nenda salasala Kuna kiwanda kinaitwa woiso original products
Una uhakika? Maana wametapakaa maeneo mbalimbali Dar mpaka kariakoo Wapo salasala ni headquarter.Kile sio kiwanda mkuu, ni duka. Wanauza viatu na material zingine kama ngozi, soli n.k.
Nawajua mpaka maeneo ya keko kule wapo. Yale ni maduka ya kuuza bidhaa zao. Yaani bidhaa inatengenezwa uko factory halafu inapelekwa dukani. Sijui factory yao ipo wapi.Una uhakika? Maana wametapakaa maeneo mbalimbali Dar mpaka kariakoo Wapo salasala ni headquarter.
Okay, kama una uhakika na Hilo nadhani mwandishi aanzie hapo salasala then atajua pa kuanzia.Nawajua mpaka maeneo ya keko kule wapo. Yale ni maduka ya kuuza bidhaa zao. Yaani bidhaa inatengenezwa uko factory halafu inapelekwa dukani. Sijui factory yao ipo wapi.
Nilivyomuelewa mtoa mada yeye anataka kujua kiwanda, yaani kuanzia hatua ya kwanza material inayeyushwa na uji wake kuwekwa kwenye mold ili kutengeneza shepu ya soli, ngozi au leather inavyokatwa na kushonwa, inaunganishwa kwa kundi na soli n.k
Yes aende pale salasala kutafuta taarifa za mwanzo. Ingawa sio rahisi sana mbongo kukupa ramani ya mchongo wake.Okay, kama una uhakika na Hilo nadhani mwandishi aanzie hapo salasala then atajua pa kuanzia.
Na hapa ndio wajasiriamali wengi wanapokwama.Yes aende pale salasala kutafuta taarifa za mwanzo. Ingawa sio rahisi sana mbongo kukupa ramani ya mchongo wake.
NendaHabari wakuu,
Kuna wale wataalamu wanaotengeneza viatu pamoja na soli zake kuanzia hatua ya kwanza, yaani wenye viwanda vyao.
Naomba kujua, hapa Dar es Salaam wanapatikana wapi?
Nashukuru.
Nenda Mbagala Tua ngoma.Habari wakuu,
Kuna wale wataalamu wanaotengeneza viatu pamoja na soli zake kuanzia hatua ya kwanza, yaani wenye viwanda vyao.
Naomba kujua, hapa Dar es Salaam wanapatikana wapi?
Nashukuru.
Interesting.Nenda
Nenda Mbagala Tua ngoma.
Ukifika hapo kuna Petrol station, uliza kiwanda cha viatu.
Hao jamaa wanadesign kuanzia sole hadi finishing na wanatumia ngozi halisi.
Ukitaka details zaidi nifuate pm nikupatie namba zao za simu kwa maelezo zaidi.
Tafuta mtu anaitwa WOISO PRODUCT ndio wakala wa soli na viatu na ngozi pia kwa hapa bongo kutoka nje huko ndo atatatua tatizo lakoHabari wakuu,
Kuna wale wataalamu wanaotengeneza viatu pamoja na soli zake kuanzia hatua ya kwanza, yaani wenye viwanda vyao.
Naomba kujua, hapa Dar es Salaam wanapatikana wapi?
Nashukuru.
Sole wanazounda ni zile ngumu za ngozi.Interesting.
Tupunguze folen PM.
Wanatengeneza Soli wenyewe?..
hawa nilisikia ni kiwanda cha kutengeneza Viatu vya ngozi.
NI KIWANDAKile sio kiwanda mkuu, ni duka. Wanauza viatu na material zingine kama ngozi, soli n.k.