Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
- Thread starter
- #61
Sawa nimekuelewa, ngoja nibaki na mwili wangu huu huu ambao sina kitambi.Cha umuhimu uwe na umbo zuri.
Haijalishi una matako makubwa au madogo.
Ila uwe na umbo linaloeleweka kuwa hapa ni kiuno, hapa ni tumbo, na hapa ni chuchu..
Sasa utakuta mwanamke una kitambi kikubwa, huna tako, mnene kupindukia. Una titi limeshuka hadi kiunoni.
Kifua kimeungana na Tumbo.
Dah!
Ukiwa slim bas kila kitu kiwe cha wastan, inapendeza zaidi.