makalio makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini washiriki na washindi wa urembo (u miss) wote wa Tanzania hawana makalio makubwa?

    Washiriki na washindi wote wa mashindano ya u-miss Tanzania hawana makalio makabwa na ni wembamba. Je kutokuwa na makalio makubwa ni kigezo kimojawapo cha kushiriki mashindano ya urembo au wanawake wenye makalio makubwa na wanene kuna vigezo wanakosa vya kushiriki mashindano ya urembo ?
  2. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Angalizo tu pale unapoenda kumu approach mdada mwenye makalio makubwa hakikisha hayupo na rafiki yake alie flat. Hautaambulia kitu

    Kila demu mwenye makebo makubwa lazima awe na rafiki yake huyo alie flat, ana mdomo sana, ni kama body guard wake
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wengi Africa makalio makubwa yamewapa unafuu wa maisha

    Kuna wanawake wengi nawafahamu kutoka kwao kimsingi imetokana na wao kuwa na makalio makubwa na uzuri mwingine kiasi wa ziada. Naamini hali ni hivyo pia kwa wanawake wengi wa Tanzania wenye makalio makubwa, maumbile yao yamekuwa ndio mtaji wa uliowafanya kupata maisha mazuri. Yani bila hayo...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa ni wapotezaji (losers) wakubwa katika era ya maendeleo ya mitandao ya kijamii ni wanawake.

    Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio. Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara...
  5. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Zamani nilikuwa najua wakuoa hawa wenye makalio makubwa ila hao sio kabsa wa kuwasogelea

    Wengi wao hawana akili hata kidogo, wanafikiri matako yao ndio kila kitu kumbe kuna cha zaidi kushinda makalio Na dzain ya wengi wenye makalio ni kama wanajitegesha hivi kama wapo kazini kwa kufikiria wanaume wengi tunapenda makalio makubwa, wapo kama wanajiiuza hivi umsifie ana makalio...
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

    Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa mafuta yanayohifadhiwa sehemu ya chini ya mwili ni tofauti kabisa na yale ya tumboni. Kulingana na wataalamu wa afya, mafuta haya ya nyonga husaidia kunasa asidi za mafuta hatari mwilini. Jambo hili husaidia kupunguza kwa kiasi kikubwa hatari ya kupata ugonjwa wa...
  7. Stability

    JamiiForums Tanzania Twende na ukweli haujawahi ku-date na mdada mwenye makalio makubwa zaidi ya miezi 7

    average ya muda mdada mwenye makebo makubwa kukuvumilia ni miezi mitatu hadi sita, kuongeza na mwezi mmoja wa wewe kulia lia ili mrudiane ni miezi 7. Ukiona mdada mwenye makebo makubwa yupo na wewe mwaka mmoja hadi miwili ujue ana pata uhuru wa wewe kutomfatilia na yeye kuridhika na mfuko wako...
  8. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume tunaopenda wadada wembamba bado tupo au ni mimi tu?

    Hakika slim girls wapo moyoni mwangu Kwanza tu unaweza kumbeba wakati wa tendo na kumkunja kisawa sawa maana body inaruhusu Lakini pia kwa sisi wwnye vibamia kadude hakadzuiwi na kuishia kwenye MAKEBO makubwa , kanazama angalau. Big up kwa wadada wembaba JF.
  9. Stability

    JamiiForums Tanzania 75% ya reels za kibongo zimejaa taswira ya makalio makubwa na uhimizaji wa ngono

    I dare you nenda tik tok na insta, then scroll reels zenye asili ya kibongo ni makebo utakutana nayo kwa wingi bila kupenda, Uongeaji wa matusi ya nguoni na utakutana na video zenye asili ya utupu utupu ambazo zinaita ngono na ufuska.
  10. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ni ngumu kufanya commitment na wadada wenye makalio makubwa?

    Wanawake wana malingo ila wadada wenye makebo makubwa wana malingo PRO MAX. Ni wabinafsi mno. Nimekata tamaa sasa. Huyu ni wa pili ananifanyia vituko.
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Toa ushahidi ni wapi umewahi ona mwanamke mwenye makalio makubwa akawa na akili popote pale Duniani?

    Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu. Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kwa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumu sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kila mdada mwenye makalio makubwa huwa ana rafiki yake huyo alie flat na anakuwaga ndio mshauri wake mkuu na msemaji

    Ukimuita mtu, utasikia "jamani hauoni ana haraka "
  13. Stability

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mchepuko lazima awe na makalio makubwa zaidi?

    Eti wakuu.?
  14. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Kupenda Wanawake Wenye Makalio Makubwa Kunasababishwa na Njaa

    Inasemekana njaa huchochea wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa. Kwa mujibu wa wataalamu, mtu mwenye njaa ama aliyekulia katika mazingira ya uhaba wa chakula, anapoona mtu 'kanona' hupata faraja na kuona ile ni dalili ya uwepo wa chakula dalili ya mafanikio. Maana yake ni kwamba, watu...
  15. Stability

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna nchi Afrika inaizidi Afrika ya kusini kwa wadada wenye makalio makubwa.

    https://youtube.com/shorts/ZE6JoCrTnxA?si=909EeGhifyHrywRl
  16. Stability

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Hakuna kundi la vijana hapa bongo linaloongoza kufurahia maisha kama mabinti wenye makalio makubwa

    Wengine picha zetu za before and after bado mbavu zimekakamaa njaa tupu🤣 ila hawa tipwa tipwa kamechipukia juzi kana 21yrs old ila ghafla unaona kanapiga picha mara kapo ngoro ngoro mara dubai, mwaka kesho kana duka la nguo hapo sinza.
  17. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Wadada Wenye Miili Mikubwa Tujitahidi Kujisafisha vyema kupunguza Aibu

    Habari jamani leo naomba nije kasi na haraka maana kituko nilichoshuhudia jana ni aibu kubwa sana. Songa nami. Jana pale maeno ya Ubungo External kulikuwa na shughuli ya kumtoa mtoto 40. Waalikwa walikuwa ni wengi na palikuwa na hekaheka nyingi sana. Sasa basi katika makutano hayo alikuwapo...
  18. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume asiyependa makalio makubwa

    Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa? Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
  19. Stability

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mwanaume ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa.

    Tipwa Tipwa wamebaki kwa ajili ya burudani tu za kutolea stress za mihangaiko. Wengine Unakutaga wanahagaika in their 20s, wanauza utu kwa ajili ya starehe na pesa za kuhongwa, wakishafikia 35 sasa ndio wanaanza kutafuta mabwana na kuja na nyuzi humu wakitafuta wazee wa miaka 50 maana wanajua...
  20. Stability

    JamiiForums Tanzania Binafsi hadi hii leo sijawahi kukutana na mdada mwenye makalio makubwa (curvy) halafu eti anaishi maisha ya kuunga unga

    Hata kama alizaliwa bonyokwa ndani ndani huko nyumba ina ufaa wa miaka 8 na aliishia la saba, baba anabeba magunia kwa wahindi, mama anauza vitumbua mtaani na yeye hana kazi maalum lakini still anakula vizuri zaidi ya sisi tuliorudi veta.
Back
Top Bottom