Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
- Thread starter
- #41
Hapana ila maumbo tunaendanawewe ndio huyo pichani?
Hapana ila maumbo tunaendanawewe ndio huyo pichani?
Kama unafanana na hivyo, niseme nimevutiwa na wewe. Nakuomba pm kama itakupendeza.Hapana ila maumbo tunaendana
nipo nipange sasaSafi sana, nimepata faraja kumbe wapo wa kutupenda
KaribuMimi pia nimechoka kuwa single
Mimi sipendi kwakuwa sina matumizi nayoLeo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa?
View attachment 3336482
Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
Hahahaha😂😂fursa fursananipo nipange sasa
Dah😋😋😋 achana kabisa na hizi shape! Unaeza honga kituo ya polisi station🤣
Sasa kifua kikubwa takko dogo, bro unataka mwanamke au unataka mnazi???Una kifua kikubwa?
Sawa najongea 🙏🏼Kama unafanana na hivyo, niseme nimevutiwa na wewe. Nakuomba pm kama itakupendeza.
Nikupange kivipi yani?nipo nipange sasa
Mimi ninayo hiyo shepu, nataka kile kituo cha polisi cha Nyamagana 😅Dah😋😋😋 achana kabisa na hizi shape! Unaeza honga kituo ya polisi station🤣
Nimesikitika sana, kumbe hadi viongozi wa dini wanataka makalio makubwa 🥺🥺🤦🏽♀️🙃
Hahahaha
si umesema unapenda mtu anayependa wanawake wembamba au tayari ushapataNikupange kivipi yani?
Hakuna mwanaume mjinga wa viwango unavyotaka wewe?Bado