Nini husababisha mwanaume kunenepa makalio na mapaja na si misuli?

Nini husababisha mwanaume kunenepa makalio na mapaja na si misuli?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
454
Reaction score
837
1782355528343.png

Nikiona wanaume wenye makalio makubwa na mapaja mapana kama wanawake kama Bashiti, siishi kujiuliza kunani au kuna namna. Wenye kujua hali au ugonjwa huu wanielimishe. Naogopa kuwahukumu wenye makalio makubwa au mabashiti bila kujua sababu za hali hii.
 
View attachment 3615207

Who is that guy?Kunenepa kama si kunenepeana kwa mwanaume ni ishara ya uzembe,ulafi, ujingaujinga na kutoheshimu majukumu ya kiume.Unaanzaje kunenepa kiboyaboya?Mwanaume anaanzaje kuwa na hips na zegembe kubwa? Mwanaume anaanzaje kuwa na nyama laini ambapo hata misuli haionekani?Kunenepa ni kwa watoto,wanawake na watu ambao akili zao hazichemki tu.
 
Kamwe usimcheke mtu kwa sababu ya maumbile yake maana hakuchagua kuwa hivyo. Labda ukamuulize Aliyemuumba!

Kama una ujasiri na unapenda kucheka watu basi cheka watu ambao hicho unachowacheka kimetokana na uzembe wao mf. kujiachia mpaka kuwa kibonge sana lakini siyo maumbile yao!

20260622_173313.png
 
japo me mwembamba sana ila siwezi kumshangaa mtu mnene..kuna jamaa yangu fulani bonge ila sio hata wa kula kula sana yuko peace sana mnakaa naye bar ye anapenda tu vaping ila hata msosi anaweza kuagiza na asile..
 
View attachment 3615213
Ipo haja ya kuwatetea wenye asili ya maumbo fulanifulani.Lakini,kuwatetea wanaume wanaojiachia kibwegebwege hapana!Dunia ya leo iliyojaa kila njia na mbinu za kisasa kutunza miili ndiyo tuteteane kisanii bila sababu au uasili napo hapana!
 
😳😳
 
Vipi wakati nimeuliza swali la msingi au nawe ni wale wale mapaja na matako makubwa na hii imekuchoma na kukuchokonoa?
Hatari tupu!Kuna jamaa amenenepa kama kiboko.Tumbo limemwagikia kwa mbele halafu akivaa suruali makebo yake manene yanamwaga radhi muda wote.Ilibidi tumfanyie utani kwamba aanze kuvaa magauni mapana ili asitiri umbo lake.Ilimchukua zaidi ya miaka kumi kumpa ujauzito mkewe.Hakika yeye si kibonge mwepesi!
 
Ipo haja ya kuwatetea wenye asili ya maumbo fulanifulani.Lakini,kuwatetea wanaume wanaojiachia kibwegebwege hapana!Dunia ya leo iliyojaa kila njia na mbinu za kisasa kutunza miili ndiyo tuteteane kisanii bila sababu au uasili napo hapana!
20260625_060845.png

Labda mimi sijaelewa 👆👆👆. Kwani mleta mada anaongelea unene unaosababishwa na uzembe na kujiachia au ni maumbile ya watu jinsi walivyoumbwa? Ina maana kila mwanaume mnene ana makebo makubwa na mipaja kama huyo Bashititi anayetolewa mfano? Hayo siyo maumbile tu ya Bashititi kwamba hata akikonda makebo yatakuwa makubwa tu kwa sababu hayo ndiyo maumbile yake? Na kama ndiyo maumbile yake, sisi kama binadamu tuna haki gani ya kumcheka mtu kwa kosa ambalo liko nje ya uwezo wake? Hii si ni sawa na kumcheka mtu kwa sababu ya uandunje wake, kuwa na pua kubwa au kuzaliwa kipofu? Ni sawa kufanya hivyo?

1. Kama ukubwa wa makebo ya Bashititi yanatokana na kunenepeana basi achekwe maana, kwa kiasi kikubwa, ni uzembe wake.

2. Kama hayo makebo ni maumbile yake - yaani hata akikonda yatakuwepo tu basi siyo sawa kumcheka 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Labda mimi sijaelewa. Kwani mleta mada anaongelea unene unaosababishwa na uzembe na kujiachia au ni maumbile ya watu jinsi walivyoumbwa? Ina maana kila mwanaume mnene ana makebo makubwa na mipaja kama huyo Bashititi anayetolewa mfano. Hayo siyo maumbile tu ya Bashititi kwamba hata akikonda makebo yatakuwa makubwa tu kwa sababu hayo ndiyo maumbile yake? Na kama ndiyo maumbile yake, sisi kama binadamu tuna haki gani ya kumcheka mtu kwa kosa ambalo liko nje ya uwezo wake? Hii si ni sawa na kumcheka mtu kwa sababu ya uandunje wake, kuwa na pua kubwa au kuzaliwa kipofu? Ni sawa kufanya hivyo?

1. Kama ukubwa wa makebo ya Bashititi yanatokana na kunenepeana basi achekwe maana, kwa kiasi kikubwa, ni uzembe wake.

2. Kama hayo makebo ni maumbile yake - yaani hata akikonda yatakuwepo tu basi siyo sawa kumcheka 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️

View attachment 3615214
Nimeandika awali kwa ushahidi kutoka kwangu mwenyewe.Mimi tangu mdogo nina asili ya unene/umbo kubwa na tena mrefu.Miaka kama 15-17 nyuma,nilijiachia kwa uzembe nikawa bonge la mtu.Nikabaini hilo hata jinsi tu nilivyokuwa napata tabu.Nililidhibiti na kurudia mwili wa kawaida ambao naufurahia.Huyo uliyemtolea mfano sijui historia yake.Nimejikita kwa wanaume wazembe wanaojinenepesha hovyo.
 
Naunga Mkono Hoja.
Mwanaume unakuwaje na Kitambi?????

Kwamba Huwezi kukimbia.
Huwezi Push Up.
Huaezi kubeba Chuma.

Kitambi ni Uzembe mkubwa sana.
Ni mafuta yamegandamana Tumboni.
 
Kamwe usimcheke mtu kwa sababu ya maumbile yake maana hakuchagua kuwa hivyo. Labda ukamuulize Aliyemuumba!

Kama una ujasiri na unapenda kucheka watu basi cheka watu ambao hicho unachowacheka kimetokana na uzembe wao mf. kujiachia mpaka kuwa kibonge sana lakini siyo maumbile yao!

View attachment 3615213
Mboni unataka kututia dhambi mzee?ni ili tucheke tuonekane tunakosoa uumbaji mkuu?
 
Back
Top Bottom