Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,888
- 103,116
Cazee sasa chumba sebule cha nini? Halafu duniani wapitaji, si bora alete nikamuonyeshe chimbo la wine tamu..!! 😹Kijana anajikomboa we unamuita Bar!? Kuwa na huruma cuzn
Cazee sasa chumba sebule cha nini? Halafu duniani wapitaji, si bora alete nikamuonyeshe chimbo la wine tamu..!! 😹Kijana anajikomboa we unamuita Bar!? Kuwa na huruma cuzn
Siaminiki kivipi!?Wewe bhana huaminiki sheikh wangu..!! 😹😹😹
Kwahiyo ana michezo ya mariamu biriani? 🤣
Umekimbia yutiayi..!! 😹Niliona ushindani ni mkali nikaona nijiengue tu😄
Hajajibu kama yupo telegram ama lah!!Kisha ukipatiwa hilo jawabu? 😹😹
Hana bhanaUmekimbia yutiayi..!! 😹
Telegram si ndo makao makuu ya wapika biriani au?? 😹😹Siaminiki kivipi!?
Sijasema ana michezo ya kimariamu biriani, mbona unaninukuu vibaya wewe 😂🤣
Tunampa ⚠️ DA marry, 😂😂😂😂😂Mnataka kufukua makaburi na babu yako udugu 😹😹
Tatizo lipo wapi hapo mkuu au ndio mbinu za kututoa mchezoni master?wakuu tuwe makini sana
View attachment 3327016
Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.
Yote Kwa yote nimependa hii sehemu❤️❤️❤️❤️ kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa
Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku
Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyl
😂😂😂😂😂 jamaniiiiTelegram si ndo makao makuu ya wapika biriani au?? 😹😹
Kuna channel moja niliingia kutafuta umbea wa Mange nikajikuta nimefata link laaaulaahh nikakutana na wadada wanajisell wanatuma video wako kichele..!! 😥
Halafu wengi wamekwiva kwa mikorogo jamani, papa zilivyoungua na cream sasa halafu mijamaa inazama uvinza… 😹😹
iyo combination sio nzuri kwa afya zetuTatizo lipo wapi hapo mkuu au ndio mbinu za kututoa mchezoni master?
Ewaa, sasa umeanza kunielewa..🤣Telegram si ndo makao makuu ya wapika biriani au?? 😹😹
Kuna channel moja niliingia kutafuta umbea wa Mange nikajikuta nimefata link laaaulaahh nikakutana na wadada wanajisell wanatuma video wako kichele..!! 😥
Halafu wengi wamekwiva kwa mikorogo jamani, papa zilivyoungua na cream sasa halafu mijamaa inazama uvinza… 😹😹
Mhm hana tatizo kabisa huyo acha kujifnya CIAiyo combination sio nzuri kwa afya zetu
😂😂😂😂Mhmmm acha nongwa
😹😹😹Tunampa ⚠️ DA marry, 😂😂😂😂😂
Asikae kizembee, akae kimastaa. Lol
Una wivu sana jane🤔😂😂😂😂
Telegram kwa moto, yani unajiuliza huyu kichwani zinamtosha kweli unalamba papa ya muuzaji?? 😹😹😹😂😂😂😂😂 jamaniiii
😂😂😂😂😂Najua unachokumbuka. Hekaheka za Selfika ama? 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️