Ahsante sanaTukuulize chochote wewe ni nani, wakili, Mwanauchumi, mwanasaikolojia, Daktari.
Hizi akili za Fb toa apa.
Msumali wa Moto huuHUKU USILETE MADA ZA FACEBOOK NA INSTAGRAM KAMA AKILI YAKO NI JUMA LUKOLE
Relax basiJamani,
Mimi Nina hofu ya Mungu lakini pia naishi maisha ya kawaida mno lakini naona kupost Kwa hii Mada naonekana Malaya
Eee Mungu nipe nguvu na ustahimilivu,
Maisha ni haya haya,kuna vitu nimejifunza kwenye hii post
Hao wasikuumize kichwa wewe relax tu, washazoea ban haoAhsante sana
SetfreeMarry Diana hujambo? Nakukabidhi kwa mama mtumishi Donatila akukuze kiroho 😊
Uipeleke wapi wewe?Naomba namba yako
NimpigieUipeleke wapi wewe?
understood ma'am 🤐Acha masihara mkuu
OkHao wasikuumize kichwa wewe relax tu, washazoea ban hao
AhsanteWelcome
Hongera mkuu mbususu zipo tu, nipo mahali napiga grants niibuke na manzi fulani kabinuka kama katuni nikamassage yale makalio!Aisee nimekuwa busy huku site...bwana nimeanza kuweka msingi kwenye kiwanja changu . Sasa hawa mafundi ukiwa jf wanakuibia so nipo makini hapa site.
Niko serious kujenga sita mbususu mpaka nimalize boma langu
Kweli wengi wamejikuta ni users baada ya kugusa mabandiko yanayowapa ahueni kwenye matatizo yao.Wee em sema kwelii?! 😂😂😂😂
Kwan nasema urongo jirani?Oyaaa 😹😹😹
Hahah nilijua tu huwezi kuniangusha kijana wangu😄😃Nipo PM kwake najiandaa kwenda Tabata
Ndiyo
Kwanini umewahi kutoka facebook haraka hivii?😂😂😂Hapana
Wewe ni mgeni mitaa hii?Wewe pia yako ni ya kuzugia