Profile pic mkuuThibitisha
Profile pic mkuuThibitisha
Atabaki mjane sasa.. Ebu unga ivo ivo😁😁 mkuu ngoja nijitoe mimi nimekumbuka mimi ni jobless promax kumbe najisahau sana🤔
Jamani haya maswali ya Una mume,umeolewa,Mimi sioni kama yanaumuhimu,mniulize mengine.🤣🤣🤣🤣 umeolewa?
Hafu yeye ana kazi. Tutatumia yake.😁😁 mkuu ngoja nijitoe mimi nimekumbuka mimi ni jobless promax kumbe najisahau sana🤔
Hauna mpango wa mume hivi karibuni?Kwasasa sina mume
Umejuaje huyo sio mimi?Profile pic mkuu
Sema tukaachana.Ukweli niliolewa nikaachika
una onekana mcharuko au nakosea??Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.
Yote Kwa yote nimependa hii sehemu❤️❤️❤️❤️ kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa
Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku
Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
Sitaki kusikia hicho kitu wanaume si watu kabisa ,ila tuache haya uliza mengineHauna mpango wa mume hivi karibuni?
SijuiUmejuaje huyo sio mimi?
Walauna onekana mcharuko au nakosea??
Kuachana nikukubaliana,Sema tukaachana.
VungaSijui
Weweee sikujui,Nilicho gundua wanang wa JF mpo vizuri kuiomba
Nisiwe muongeaji sana
Dada mery baadae tukapate chechote kitu pale kazimot tabat segerea au waonaje.
utampata tu. Kwa uzuri wako huo, hawapinduiKwasasa sina mume
Sio watu ni viumbe gani?Sitaki kusikia hicho kitu wanaume si watu kabisa ,ila tuache haya uliza mengine
Au nitoe hii picha, mbona kama nimekosea kuwekautampata tu. Kwa uzuri wako huo, hawapindui
Weee Acha tu ,tuongee mengineSio watu ni viumbe gani?
Gagoma kunijibu kabisa ,bila shaka hili ni parodyAtabaki mjane sasa.. Ebu unga ivo ivo