bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,211
Wanajukwaa,
Naomba kupendekeza ili kupambana na janga la ajira, kuanzia sasa watu wanaoajiriwa katika sekta za umma wafanye kazi for only 10 years then wastaafishwe watumie walichopata kujiajiri.
Hii itahakikisha kuwa nguvu mpya kutoka vyuoni inapata nafasi ya kutumikia taifa na kuongeza pia wigo wa ajira kutokana na biashara/taasisi watakazoanzisha wastaafu.