Napendekeza sheria itakayoshurutisha watumishi wa umma kufanya kazi miaka 10 pekee kisha wastaafu na kujiajiri

bloggerboy

JF-Expert Member
Nov 13, 2017
568
1,211
Wanajukwaa,

Naomba kupendekeza ili kupambana na janga la ajira, kuanzia sasa watu wanaoajiriwa katika sekta za umma wafanye kazi for only 10 years then wastaafishwe watumie walichopata kujiajiri.

Hii itahakikisha kuwa nguvu mpya kutoka vyuoni inapata nafasi ya kutumikia taifa na kuongeza pia wigo wa ajira kutokana na biashara/taasisi watakazoanzisha wastaafu.
 
Hizo Sheria huwa zinatengenezwa na Watumishi wa Umma usione zile kelele za Wanasiasa Bungeni kazi zote hufinyangwa na Watumishi wa Umma
 
Ni wazo zuri kwa sababu mnakula kwa kupokezana huku mtoa chakula akiwa haathiriki anatoa chakula kile kile.
 
Wanajukwaa,

Naomba kupendekeza ili kupambana na janga la ajira, kuanzia sasa watu wanaoajiriwa katika sekta za umma wafanye kazi for only 10 years then wastaafishwe watumie walichopata kujiajiri.

Hii itahakikisha kuwa nguvu mpya kutoka vyuoni inapata nafasi ya kutumikia taifa na kuongeza pia wigo wa ajira kutokana na biashara/taasisi watakazoanzisha wastaafu.
 
sema kama serikali inaweza itulipe stahiki zetu zote tuliofanya kazi zaidi ya MIAKA kumi tutoke kwenye utumishi wa umma ije damu changa wachagize maendeleo
 
uwezo upo,sheria na taratibu zikiwa nzuri,hii itachagiza uwajibikaji kazini na kufikiria ya mbele
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom