Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili

Za jioni wakubwa zangu,

Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.

Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
Chana madaftali,panda bus mpaka Igunga Tabora,hapo ndani ndani ya Igunga kuna vijiji vina dhahabu na kuna wachimbaji wadogo wadogo,nenda na wewe kajaribu,huna la maana chuoni wewe!
 
Mpumbavu kabisa wewe yaani nimepitia thread zako zote ndo zimeleta matokeo ya kuliwa ada mjinga kabisa wewe kwanza inaonyesha ni jinsi gani huna heshima hadi kwenye matumizi yako ya pesa ungalikuwa mdogo wangu ningekubadilisha kwa thamani ya kilo moja ya ubuyu
 
Za jioni wakubwa zangu,

Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.

Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
Kumbuka tu ule usemi, mchuma majanga hula na wa kwao. Wapelekee tu nyumbani hilo janga .

Vv
 
Huu ni upumba.vu kiwango cha PHD. Unakula ada? Hujui kuwa hayo ni maisha yako?
Malaya wote uliokula nao fedha wamekukimbia, sasa umebaki mwenyewe.
Km unataka kuwa maskini, ww kuwa busy na wanawake tu. Utamu wote umekata, hii ndiyo hasara ya anasa.
Hapo hakuna ushauri, hata ningekuwa mzazi nisingekulipia ada. Kafanye vibarua.
 
wewe ulivuna nini?
wewe ulishawahi uza tako?
Yan ww kweli kilaza unatetea upuuzi ivi sio vyakuomba jf ushauri ashasema ni tution fee iweje afanyie mambo ya kihanithi si bure ww ni kula kulala hamjui uchungu wa elimu,pesa na maisha.WEWE NI MBOGA SABA
 
Hao Malaya waliokua wanakufunulia hawajakufunulia nini cha kufanya?
 
Za jioni wakubwa zangu,

Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.

Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
Kwakuwa umekula, lazima nawewe uliwe kidogo.... Sasa wewe unataka kula bila kuliwa.....haiwezekani. (Sina maana hiyo)
 
Za jioni wakubwa zangu,

Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.

Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.

Kama ulihonga basi kata mboo yako ndo imekuponza kama ulikula basi ng'oa meno yote yaliyotumia kuzila
 
Baadhi ya walezi/wazazi wanakopa hela za riba kugharamia masomo ya wategemezi au watoto wao wewe unafanya UNGESE na kuuleta humu!
NAKUTUKANA KIMOYOMOYO ..........ZAKO.Pumbavu mkubwa weee si hata ukihiitimu hayo masomo yako utaleta majanga wewe?...****:;''""'!. zako wewe
 
Hahahahaahahaha, me hii story ya jamaa siiamini naona ni hadithi za kufikirika tu
 
Mkuu umefanya jambo jema sana,kuliko kulipa ada ukafeli mtihani bora umeila na umewaenjoy akina Joy.hongera sanaaa
 
mwafrica akishindwa maisha kipimo chake ni kujinyonga,mimi akili yangu haiwazi kujinyonga labda akili yako fupi isiyo na future ndio unawaza kujinyonga.
me akili yangu inawaza future sina akili kama yako
Aaaah!!!kumbe ni ww !!!!!!
 
Kabla ya kula ungeomba ushauri Kwanzaa,
Mla janga hula kivyake
 
Wee!!!! puppa
Nimekuchoka sasa tabia hii ulianza ukiwa sekondari, ulikula pesa za ada pamoja na uniform.
Niliwahi kukupa pesa umpelekee Babu yako ukazila.
Nimekwisha mwambia Mama yako usikanyage hapa nyumbani na yule binti wa jirani ulie mpa mimba nae nimempiga marufuku kuja kulia lia nyumbani kwangu, wadogo zako nao wanahitaji kusaidiwa na sio wewe tena.
Lo mtoto gani wewe.
 
Za jioni wakubwa zangu,

Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.

Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
Acha bangi we boya
 
Back
Top Bottom