Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili

Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili

Umri wako sahihi ni upi sasa?

Kuna wadada humu wananichanganya roho
Mimi ni member mpya hapa Jf, Ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka...
Thread by: puppa, Oct 7, 2015, 216 replies, in forum: JF Chit-Chat

naombeni msaada ndugu zangu nipo njia panda
habari ndugu zangu? mimi ni dogo mwenye umri wa miaka 17, mwanzoni mwa mwaka huu niliapply chuo kupitia nacte ngazi ya diploma clinical medicine,...
Thread by: puppa, Oct 7, 2015, 2 replies, in forum: Jukwaa la Elimu (Education Forum)

Ushauri: Jamani nimetendwa na mpenzi wangu
Hii ni wiki ya pili tangu nilipotendwa na msichana niliyemtoa bikra, anadai sina pesa yakukidhi mahitaji yake. Roho inauma sana sina raha wala...
Thread by: puppa, Nov 7, 2015, 59 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

Ushauri: Nimempa mimba binamu yangu
Baada ya kuachwa na mpenzi wangu niliumia sana, niliamua kutopenda tena wanawake na maamuzi niliyopanga kila mwanamke atakayekatiza mbele yangu...
Thread by: puppa, Dec 19, 2015, 83 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

Msaada: Nachelewa kufika kileleni
Hii hali imenianza miezi 3 iliyopita, nikifanya mapenzi nachelewa sana kufika kileleni, nachukua dk 50 hadi 70. Mpka naamua kupiga puli kabla ya...
Thread by: puppa, Dec 26, 2015, 5 replies, in forum: JF Doctor

Natafuta rafiki wa kike
Nina umri wa miaka 22 nipo chuo,natafuta rafiki wa kike wakubadilishana nae mawazo umri 18-25.
Thread by: puppa, Feb 23, 2016, 7 replies, in forum: Love Connect

Msaada wa kwenda Marekani
habari?mimi ni kijana wa miaka 21 uref ft 6 inch 8,nasoma chuo nipo mwaka wa pili nachukua diploma ya clinical medicine. napenda sana mchezo wa...
Thread by: puppa, Feb 24, 2016, 11 replies, in forum: JF Chit-Chat

Msaada: Mke wa mtu amenipenda mwenyewe
Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana...
Thread by: puppa, Feb 29, 2016, 132 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili
Za jioni wakubwa zangu, Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele...
Thread by: puppa, Sep 1, 2016 at 9:27 PM, 204 replies, in forum:
Habari na Hoja mchanganyiko.
Hiko chuo hamalizagi wenzak wote washapelekwa vijijini kugawa Alu na panadol clinical medicine miaka minne alidakwa nini
 
Njoo huku tukustareheshe zaidi na ada upewe pia Kijana!
 
Au umebet bwana ,halafu kuna Jamaa slikuwa anafundisha humu namna ya kubet ulimwelewa vibaya,wafahamishe wazazi kama ungewin ungewajengea house watakusamehe tehe tehe tehe te tehe
 
Za jioni wakubwa zangu,

Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.

Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
Kama umekula hamna shida ni jambo jema. Lkn maadam si amekuzimia ongea naye utalipa baadae
 
Mkuu si uko karibu na Tanga? Mwulize M/kiti wa uvccm (Shaka) labda anaweza kukupeleka hapo town ukagongeshe extreme yourself naamini utapata hiyo pesa kabla ya mtihani!
 
Mkuu si uko karibu na Tanga? Mwulize M/kiti wa uvccm (Shaka) labda anaweza kukupeleka hapo town ukagongeshe extreme yourself naamini utapata hiyo pesa kabla ya mtihani!
Kwa taarifa zilizopo hapa jf ni kwamba mleta mada amefariki dunia.
 
Mbona ule uzi wa taarifa ya kifo chake umefutwa?
Sielewi!
Hata mimi nahisi kuna kamchezo hapa...... Haya ndio matatizo ya multiple ID...... Aliyeanzisha ule uzi wa jana abanwe aseme hizo habari alizitoa wapi, na aweke picha za msiba...... Kuna member mmoja naye aliwahi kufanya hivi hivi...... Alitumia id nyingine kuja kujitangazia kifo mwenyewe..... Nahisi Mtu anataka id michepuko ifungiwe kabla haijaunganishwa.
 
Kuna Uzi upo humu kwamba mleta mada tayari ni marehemu.

R.I.P
 
Kwa khabari tulizoletewa kuwa ndugu puppa umauti umemfikia hivyo ushauri wangu hauta msaidia ila kwa tulio hai naomba tusikilize wimbo wa khamis mwinjuma uliotoka hivi karibuni.
 
Hata mimi nahisi kuna kamchezo hapa...... Haya ndio matatizo ya multiple ID...... Aliyeanzisha ule uzi wa jana abanwe aseme hizo habari alizitoa wapi, na aweke picha za msiba...... Kuna member mmoja naye aliwahi kufanya hivi hivi...... Alitumia id nyingine kuja kujitangazia kifo mwenyewe..... Nahisi Mtu anataka id michepuko ifungiwe kabla haijaunganishwa.
Tusubiri na tuone mwisho wake.
Ila kama ni kamchezo na hakuna ukweli aliyeleta taarifa ile anastahili Life Ban.
 
Back
Top Bottom