Naombeni ushauri nimekula pesa ya ada milioni mbili

Za jioni wakubwa zangu,

Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.

Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
Shule ni pamoja na uadilifu , wewe umeshindwa , rudi kwenu ukalime kudadeki !
 
Za jioni wakubwa zangu,

Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.

Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
Hufai hata kuwa daktari labda uwe nesi
 
Sasa dogo mapenzi na Shule wapi na wapi? wewe ada ya shule unatumia, una balaa mdogo wangu[emoji4] [emoji4]
 
unakula ada!!!!!
KIM JONG II wa North Korea inabidi tumwalike aje na makombora ulipuliwe sio wale wanaolala vikaoni!!!
you are sick.
 
Ha ha pesa ya ada huwa hailiwi. Yaani ata ukila 10000 kuilipa sio shughuri ya kitoto kwa maisha ya kishule shule
 
Qu....nina ww? Sisi tunateseka huku ww unakula milioni mbili kisa mademu! Mayoo ww! Jigeuze demu na ww wakupakue upate pesa!
 
kula ada ni kawaida na wengi tu tumekuka, ila kula kidg sasa 2milion mkuu imekula kwako
 
Unasomea utabibu halafu unakuwa mpuuzi hivyo! Afadhali uishie hapo usije ukamaliza ukatuua baadae
 
Weka namba ya cm tukuchangie pole sana wanawake mubaya sana
 
Back
Top Bottom