Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,119
Ahsante Mungu maana hawa ndio wanaokujaga kua manesi mizigo
Ahsante Mungu maana hawa ndio wanaokujaga kua manesi mizigo
mbona mnamtukana marehemu jamani puppa is dead!Kajiuze bwege kweli wee mtoto, umenichefua sana kumbe Nyumbu hawaishagi humi duniani
Sasa marehem anataka kurudi shulembona mnamtukana marehemu jamani puppa is dead!
kafa jana eti aliteleza alipoenda kujisaidia haja ndogoSasa marehem anataka kurudi shule
My god hawa ndio wanakuja kutuibia dawa zetu kwa sababu wakati wanasoma utabibu kuna utaalam mwingine wa WIZI unaendelea. Na huko unakoelekea utawaibia na hao wanawake. Familia umeijulisha kwamba wewe pamoja na mambo mengine unayopenda PAPUCHI ndio mambo yote kwako?Za jioni wakubwa zangu,
Nina miaka 20 Nasoma Chuo cha Utabibu BUMBULI CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTER naingia mwaka wa pili, nimekuja mbele yenu wakubwa mnipe ushauri nimekula pesa ya ada milioni 2, bila ada siruhusiwi kufanya mtihani wa wizara kichwa kinauma nashindwa kuwaambia wazazi najifikiria kuwadanganya nimekabwa ila nafsi inasita.
Wanawake wamenimalizia hela mpaka najuta full stress tu na kinachoniumiza ni mitihani ya wizara.
hawa watoto huku jf wako kuongea tu hata hivyo niliona uzi kuwa akafariki janaMy god hawa ndio wanakuja kutuibia dawa zetu kwa sababu wakati wanasoma utabibu kuna utaalam mwingine wa WIZI unaendelea. Na huko unakoelekea utawaibia na hao wanawake. Familia umeijulisha kwamba wewe pamoja na mambo mengine unayopenda PAPUCHI ndio mambo yote kwako?
Heee,, eti unasemaje? Alijinyonga?Kwa taarifa zilizopo hapa jf ni kwamba mleta mada amefariki dunia.
Ulikuja uzi unaosema Puppa alikufa baada ya kuanguka chooni....ila ilionekana kama ni uzushi na baadae mods waliuondoa.Heee,, eti unasemaje? Alijinyonga?
Ila kweli hajaonekana jamvini tangu Jumamosi! Ukiangalia profile yake inaonesha the last activity ilikuwa Jumamosi!Ulikuja uzi unaosema Puppa alikufa baada ya kuanguka chooni....ila ilionekana kama ni uzushi na baadae mods waliuondoa.
hiki ulichoandika hapa, ndicho unachotakiwa kumuelezea baba ako, kwanza aliekuambia ada inaliwa nani?? huu mzimu utakuandama hadi ukojoe dagaaaaaa....mxiuuuuu