Naombeni tips za sehemu nzuri Dar Kwa Outing low budget

Naombeni tips za sehemu nzuri Dar Kwa Outing low budget

Nyoosha maelezo, unataka guest, lodge, hotel..? Au unataka restaurant mtoto akale vipilau kabla ya uzinzi..?
Budget yako ya bei rahisi ndo ngapi kwanza maana bei rahisi hata 1M ni rahisi kwa wengine.
Huna hela kaa geto usubiri posa
 
Taja zinapopatikana hizo bnb na gharama zake.
Airbnb zipo na bei zinatofautiana kulingana na eneo husika Mkuu Mfano, maeneo kama Masaki na Mikocheni mara nyingi bei zake huwa juu kidogo kutokana na mazingira na huduma zilizopo Lakini kama unataka kupata sehemu za bei nafuu zaidi unaweza kuangalia maeneo kama wilaya ya Temeke au sehemu zingine

Uzuri wa Airbnb ni kwamba mazingira yake yanakuwa kama nyumbani kabisa Unaweza kupika chai kahawa,au chakula chochote mkitaka yani unapata comfort ya home nNi sehemu nzuri kwa mtu anayependa utulivu privacy very classic
Hii nzuri kwa mtu asiependa heka heka na anapenda vitu vizuri so jaribu kuingia hata mtandaoni uone eneo ulipo au unalotamani kufanyia kazi yako kuna hiyo huduma maeneo hayo asante🙏
 
Hii unafanya kwa meetings unplanned, ila kuna ile umetafuta outing kwa pisi for a month, anakubali ndo una hali mbovu kama mleta maada.

Nahakika hata nauli ya kumpa mtoto wa watu hana.
😂😂😂🙌🙌Oya
 
Ah
Airbnb zipo na bei zinatofautiana kulingana na eneo husika Mkuu Mfano, maeneo kama Masaki na Mikocheni mara nyingi bei zake huwa juu kidogo kutokana na mazingira na huduma zilizopo Lakini kama unataka kupata sehemu za bei nafuu zaidi unaweza kuangalia maeneo kama wilaya ya Temeke au sehemu zingine

Uzuri wa Airbnb ni kwamba mazingira yake yanakuwa kama nyumbani kabisa Unaweza kupika chai kahawa,au chakula chochote mkitaka yani unapata comfort ya home nNi sehemu nzuri kwa mtu anayependa utulivu privacy very classic
Hii nzuri kwa mtu asiependa heka heka na anapenda vitu vizuri so jaribu kuingia hata mtandaoni uone eneo ulipo au unalotamani kufanyia kazi yako kuna hiyo huduma maeneo hayo asante🙏
Ahsante, japo nilifikiri utanitajia ranges za bei.
 
Nyoosha maelezo, unataka guest, lodge, hotel..? Au unataka restaurant mtoto akale vipilau kabla ya uzinzi..?
Budget yako ya bei rahisi ndo ngapi kwanza maana bei rahisi hata 1M ni rahisi kwa wengine.
Nikuokotee mawe? 😹😹😹
Vipilau kabla ya uzinzi” was necessary?? 🤣
 
Wewe upo maeneo gani ili tukutajie lodge zilizo maeneo ya karibu na wewe..?
Huyo hutakiwi umnunulie hata maji, maana kwa balance yako hio ni inabidi straight to bed na umkunje kweli ili asikose hela na show nzuri kwa pamoja. Maskini msingi wetu kiuno.
Imebidi nivue miwani na niongeze mwanga wa simu..!! Ni wewe kaaka?? 😹😹😹

Yeleuwiiiiiiiiii vibuyu wameniharibia mdogo wangu..!! 😥😹😹
 
Habari zenyu, poleni na majukumu

Moja Kwa moja kwenye pointi, 2024 nlivyoondoka huku dar kulikuwa na kabinti Kwa huo mwaka niliona si vyema kuingia nako kwenye mahusiano, tukawa tu marafiki story story na maswali ya shuleni ya hapa na pale, in short sikuwa na interest nacho.

2026 nimerudi ila nilipita Kwa mtu wangu ajira mpya mkoani😃😃🙌 nilivumilia ila mwisho nilishindwa nikamtia vitasa then nikaamua kuja Dsm. Baada ya kupitia mikanganyiko ya Hapa na pale+ugomvi na baby mama wangu nikaamua kukimbilia dar, nianze life upya japo maumivu hayaepukiki ila kiume nakaza as nothing goes on my mind.
Nimerudi mitaa hii nikawa nimeweza kukutana nacho tena safari hii, ngozi imekua laini, dimpoz-mwili teketeke alooo, kamenichangamkia kiasi Jana nlifunguka ya moyoni ....aibu aibu mwisho kalijubu YES.

ILinibidi nifanye hivyo coz tayari alishanipa ratiba zake kuwa siku yupo free ni jumapili tu, na alikuwa tayari tutoke, kuona vile nkawahi kuomba ili akizngua ncancell mtoko kuepusha gharama zsizo za lazima.
Mpaka sasa kila kitu Kiko well arranged ila wakuu dar siijui vizuri na msaada naohtaji kwenu ni kuniekekeza sehemu nzuri bei kitonga na mazingira rahisi kuchakata tunda la huyu Binti (18yrs)

Karibuni, MAWAZO yenu ni muhimu
Naomba kujua sehemu, features zake na cost
Asanteni
Unataka tutangaze biashara za watu bila malipo mkuu?
 
😁😁 Current balance 25k
Na plan yangu kama kakieleweka, nijue joto lake, ongezea nyama mkuu naweza kupata room for show time maeneo hayo, literally hakana njaa ya pesa...
Mtafute Mpwayungu ana story zake za kulala manzese kwenye guest za bei ndogo atakuelekeza..!!

Hiyo 25k sasa hapo si inaisha kwenye kurequest bolt 😹😹😹
 
Napajua coco beach tu, mbezi beach napanda mgari yanayoenda wapi mkuu
Bodaa watanichaji parefu😃😃ukizngatia Hali ni tete
NIKOPESHE😁😁
😹😹😹😹 JF hapa ndo inaponichosha wallahi khaaaaa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom