Ni sehemu gani nzuri ya kutembelea kwa hapa Dar?

Feb 15, 2013
64
109
Habari yenu wana JF,

Tunapoelekea mwishoni mwa mwaka, mimi nmefanikiwa kuweka kuvunja kakibubu kangu na nataka angalau niweze kutembelea sehemu tofauti tofauti hapa Dar ambazo cost zake sio kubwa ila ni nzuri kwa kupumzika na "kurefresh" akili.

Kwa ambae anafahamu sehemu nzuri hasa za asili ( sio mahoteli ) kama fukwe, misitu, sehemu za kupand milima ( hicking), au nyumba za maonesho naomba anisaidie na kama akiweza hata na gharama zake.

Naomba kuwasilisha !

Ahsanteni
 
Nenda mbez kwa zena mkuu ukishuka pasua katikati Kama unaenda kidimbwi alaf ulizia bichi mpya
 
Zifuatazo ni Beach Safi,maji Safi na privacy kubwa katika visiwa vya Dar

-Sinda -kigamboni,panda boti kutokea barakuda au Kipepeo hotel Nauli
20,000(go return) msipungue wanne.

-Bongoyo- Nauli boti 30000 (go-return)
Misitu na sauti za ndege na fukwe za zisizo na watu wengi (pandia boti Msasani Slipway)

-Mbudya-Nauli 10000 ( go+return)
(Beach zote hizo utalipa 10000 kiingilio)/mwanafunzi 5000)
uzuri wake hizo fukwe hiyo pesa utaona ndogo(Hiki ni kisiwa wanakopenda kutembelea wasanii,Wafanyakazi wa kampuni za kimataifa,wanafunzi wa vyuo)
-ukiwa na hema lako unalala huko 54,000

Funguyasini - Hiki kisiwa ambacho unaweza kusema "mchanga unaelea juu ya maji" Si kwamba unaelea ila ukiipeleka familia yako huku watafurahi na hawatasahau hio trip.-Pandia boti Whitesand hotel utasimulia hutaamini uko Tanzania hii,ni zaidi ya Maldives watoto watacheza na ndege hapo utafurahi mwenyewe,kisiwa kipana sana mchanga tupu maji ya kwenye ugoko,kifua,magoti watoto watacheza bila hofu yeyote

Kumbuka beach dress ili ufurahi zaidi bukta,pensi,T-shirt or beach shirt,vest,sandals ambazo zikiloa maji hazina shida,miwani Kama utapenda kwa sababu ya mchanga mweupe,kofia

ni hicho tu nachoweza kukurecommend kwa mimi
 
Daaaah ahsante sana Omunu, hakika umenena vyema. Ntafanyia kazi niweze fika baadhi ya hizo sehemu.

Safi
 
Fukwe Nzuri jaribu Mbezi Beach na Ununio nk
Visiwa jaribu Mbudya na Latham nk
Milima jaribu Pugu na Wazo nk
 
Kama unapenda kuogelea unaweza fika kunduchi 'wet n wild' ni pazuri ku enjoy michezo ya maji kwa rika lote, watoto kwa wakubwa. Km ni mkaka na una vibe la kutosha pale utapapenda, mana wakaka wanaogelea weee, baadae wanawekewa nyimbo zenye mizuka basi wanacheza singeli hapo huku wanalowa na maji yanayotoka km ya mvua hivi, yani unaweza acha kuogelea ukabaki unawaangalia wao wanavyoserebuka huku wanachezea maji 😅, nimetaja wakaka kwa sababu wadada km wanaona nishai kucheza
 
Hao wakaka wajiangalie,kitawakuta kitu
 
Back
Top Bottom