Naombeni tips za sehemu nzuri Dar Kwa Outing low budget

Naombeni tips za sehemu nzuri Dar Kwa Outing low budget

Habari zenyu, poleni na majukumu

Moja Kwa moja kwenye pointi, 2024 nlivyoondoka huku dar kulikuwa na kabinti Kwa huo mwaka niliona si vyema kuingia nako kwenye mahusiano, tukawa tu marafiki story story na maswali ya shuleni ya hapa na pale, in short sikuwa na interest nacho.

2026 nimerudi ila nilipita Kwa mtu wangu ajira mpya mkoani😃😃🙌 nilivumilia ila mwisho nilishindwa nikamtia vitasa then nikaamua kuja Dsm. Baada ya kupitia mikanganyiko ya Hapa na pale+ugomvi na baby mama wangu nikaamua kukimbilia dar, nianze life upya japo maumivu hayaepukiki ila kiume nakaza as nothing goes on my mind.
Nimerudi mitaa hii nikawa nimeweza kukutana nacho tena safari hii, ngozi imekua laini, dimpoz-mwili teketeke alooo, kamenichangamkia kiasi Jana nlifunguka ya moyoni ....aibu aibu mwisho kalijubu YES.

ILinibidi nifanye hivyo coz tayari alishanipa ratiba zake kuwa siku yupo free ni jumapili tu, na alikuwa tayari tutoke, kuona vile nkawahi kuomba ili akizngua ncancell mtoko kuepusha gharama zsizo za lazima.
Mpaka sasa kila kitu Kiko well arranged ila wakuu dar siijui vizuri na msaada naohtaji kwenu ni kuniekekeza sehemu nzuri bei kitonga na mazingira rahisi kuchakata tunda la huyu Binti (18yrs)

Karibuni, MAWAZO yenu ni muhimu
Naomba kujua sehemu, features zake na cost
Asanteni

KIDIMBWI.
 
Aiseee ,life lenyewe la kuunga unga then unataka kumtoa mtoto wa watu na elfu 25? Jipate kwanza ndiyo uanze uzinzi ,sasa elfu 25 hata ya Bolt haitoshi kwenda na kurudi.

Ukitaka kula kondooo kula aliyenona ,ukitaka kufanya starehe uwe na pesa.
Ni hatari hata yeye mwenyewe akisema ajitoe out na hiyo pesa akakae sehemu ale chakula na vinywaji haitoshi
 
1. Unahitaji lodge, kwa Dar angalau 25k kwenda juu nje kabisa ya town, classic kabisa atleast 40k.

2. Lazima mtakula na kunywa. Hapo angalau 20k.

3. Nauli angalau 10k.

4. Atataka hela ya kusuka, au ya zawadi kumzugia mdogo wake kwao. Angalau 20k.

Jumlisha: 75-90k.

Private ghetto itaokoa 80%

Kama upo mitaa ya Ubungo nikuazime Ghetto.
Mkuu nisave gheto leo nichakate mtoto anatoka mbagala nipo riverside
 
Aiseee ,life lenyewe la kuunga unga then unataka kumtoa mtoto wa watu na elfu 25? Jipate kwanza ndiyo uanze uzinzi ,sasa elfu 25 hata ya Bolt haitoshi kwenda na kurudi.

Ukitaka kula kondooo kula aliyenona ,ukitaka kufanya starehe uwe na pesa.

Hawaoni wenzake hua wanakutania pale limara mwisho darajani jioni ? 😀

Au hua anazani ni wakuja, Uchumi ukikuchumu kubali tu, otherwise utauguza bichwa tu
 
Ni hatari hata yeye mwenyewe akisema ajitoe out na hiyo pesa akakae sehemu ale chakula na vinywaji haitoshi
Kabisa ,anazingua hiyo 25 labda angekuwa na ghetto akanunua kiepe yai ,kidali na soda(6,500/=) na yeye akajinunulia wali nyama(2,500/=) na maji Lita moja na nusu(1,000/=) kisha inayobaki hiyo 15,000/= ampe manzi.
 
Bajeti yako sh ngapi?
Hapo ni akili kumkichwa,
nishawahi mpeleka mtoto wa kiarabu kwenye supu ya MAPUPU na aliinjoi kinyaaama

Hii unafanya kwa meetings unplanned, ila kuna ile umetafuta outing kwa pisi for a month, anakubali ndo una hali mbovu kama mleta maada.

Nahakika hata nauli ya kumpa mtoto wa watu hana.
 
😁😁 Current balance 25k
Na plan yangu kama kakieleweka, nijue joto lake, ongezea nyama mkuu naweza kupata room for show time maeneo hayo, literally hakana njaa ya pesa...
Katafute hela kijana wacha kutania watu.
 
Kabisa ,anazingua hiyo 25 labda angekuwa na ghetto akanunua kiepe yai ,kidali na soda(6,500/=) na yeye akajinunulia wali nyama(2,500/=) na maji Lita moja na nusu(1,000/=) kisha inayobaki hiyo 15,000/= ampe manzi.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom