Naombeni tips za sehemu nzuri Dar Kwa Outing low budget

Chai 😹😹😹
Hii serious kabisa, kuna siku alinicheki. Nikamjibu nakunywa supu, ipi ya mapupu.. akashangaa ndio supu gani hiyo.. nikampanga na siku nitampeleka, kweli siku niliyompeleka aliipenda na tulikunywa pamoja kama mara 4,5 hivi
 
Maka sijawahi kukuamini, una kamba nyingi wewe..!!😹😹😹

Hiyo supu mlikunywa mtaa upi?
 
Kigamboni, kibugumo hiyo, 2019 hiv kuna mdada mmoja wakuitwa fetty, mshangazi wa miaka ya mwanzo mwanzo... supu imenyooka, chapati imenyooka, mazingira vumilia
 
Umejipigia mwanamke maji ya kwanza kwa supu ya mapupu 😹😹😹

Tumtafute lamata tuuze story tupige mpunga mwanangu..!!
 
😂🤣Hapa sasa ndipo haukuelewa, sijapiga kwa supu ya mapupu, ike ni manzi yangu kitambo saana,kabla ya tukio, ila nilimpeleka sehemu ya kawaida sana na akainjoi, haoa ndio kwenye msingi wa mada na sio kumpata kwa supu ya mapupu.
 
Sasa mleta maada yeye bado hajampata huoni km utamvuruga..!! Siku ya kwanza ya outings ampeleke kula mapupu kweli? 😹😹😹
 
Nenda kimere resort bagamayo ukiwa na 70000/- unakula Mzigo kwa kujiachia ukiwa kwenye mazingira safi na upepe mwanana.
Other expenditures andaa 150000/
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom