Naomba mnisaidie huu mjadala, hivi mwanajeshi anaweza kupata mamlaka, nguvu na heshima kama anayopewa polisi ?

Hapa ni kama unalinganisha daktari na mwalimu kila mtu ana nguvu upande wake. Daktari anaweza kumwambia mke wako vua nguo na akavua na mwalimu anaweza akamwambia mtoto wako lala chini na akalala akatandikwa viboko
Habari yeni wanajamii forums, kuna ubishi hapa wa nani ana nguvu na mamlaka makubwa kati ya polisi na mjeda (mwanajeshi)

kwa maoni yangu naona polisi ndio wana nguvu kubwa zaidi, najua wana uwezo huu (kama nimekosea mnisahishe)

-wao ni law enforcers
-wana kibali cha kumuweka chini ya ulinzi mtu anaevunja sheria
-kupeleleza mawasiliano katika mitandao ya simu
-polisi hata akivunja sheria atakamatwa na wenzake wanaojuana
-polisi ana mamlaka ya kumkata hata mwanajeshi
-polisi wenye vyeo vikubwa wana msafara, n.k.

-kwa polisi wanaojinifaisha kinyume na hii nguvu yao huwa wanapiga hela si mchezo, kuanzia rushwa za matrafki, rushwa za kufuta kesi, n.k
 
Back
Top Bottom