Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Usiwe hivyo bhanaa nani wa kukusikiza sasa kama sio mwenza omba kwanza akiwa hana ndo ukope mahala pengine maisha ya endelee

Sent from my LG-D838 using JamiiForums mobile app
Mmh sijawahi nasubiri anipe kwa yeye kupenda
 
Sijawahi kumuomba hela hata siku moja na analijua hilo na isitoshe hiyo hela niliyomuomba sikuwa na shida nayo binafsi bali kuna mtu nilitaka ampe na ni hela ndogo sana elfu 15 au ulijua nimemuomba shilling ngapi labda.........yani mwanaume mzima unaombwa elfu 15 umtunie mtu unakimbia tena ni boyfriend huyo na nilimuambia nimeshindwa kutoka kutokana na hiyo sehemu ipo mbali na tigo pesa........yani elfu 15 ndo anione najiuza😀😀 narudia tena kusema ni mjinga
Ah...umeongea kwa hisia sana bibie pole mwaya ukiona haeleweki hamishia kwangu mm ni expert kwenye sekta ya matunzo na cna masimango kwani ktu gani?

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 
Hali ngumu

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
Katika kosa la kimaumbile ambalo huwa naona wanawake hawakui na hawajakamilika ni hili la mahusiano.
Jambo hili kwa mwanamke halina umri, kwamba akifikia umri fulani ataacha udhaifu wa kuombaomba misaada, hakuna. Na hili hupelekea kupeoerusha ndege wengi. Ni ajabu sana.
Hili nitalieleza vizuri.
Automatic wanawake wote duniani wameji"group".
Kuna wanandoa, wasioolewa(wasimbe, kwa ujane ama kutokujaaliwa),malaya na makahaba.
Wote ukikutana nao barabarani ni wanawake sawa ingawa wengine huonesha group lao mapema.
Ni mwanamke group la ndoa, ndiye pekee anayeweza kutegemea kutunzwa na mumewe %100.
Ma group mengine yote huingia kimahusiano na mwanamume kimkataba na makubaliano maalumu na si kupeana majukumu.
Kwa mfano malaya ama kahaba anayefanya mapenzi kibiashara, utakuta anamdai mteja ama hawara yake stahili za mke!
Utamsikia akiuliza, " unajua nakula nini, navaa nini" ebo! Hivi kulala na mwanamke kahaba tena kwa malipo, hapo unabebeshwaje majukumu mengine ya kifamilia?
Ni vurugu tupu.
Naachia hapa, lakini kama mwanamke haujaolewa, unastahili kujibeba mwenyewe.
Siyo kutegemea kutunzwa na wanaume ambao si waume zenu.
 
Tumekukosea nini kaka yangu nimekufuatilia tangu mwanzo unatukandia tu.

Jamani kaka tusamehe basi.
Emmy kama nakupenda bure hivi, maana toka mwanzo wa hii scenario umesimamia mahala pako na huhami, kizuri zaidi kila ukitype nasoma madini tupu. Na kikubwa haunipi hamu ya kufua kabisa yaelekea haukuli sabuni hovyohovyo[emoji2] [emoji2]
 
Ila pole sana. Siku hizi wanaume wamebaki wachache sana. Hizi comment zingine zinazokuchafua moyo achana nazo hii ndiyo jamii haina tofauti unapoishi huko.
Kuwa makini unapoingia kwenye mahusiano
That Moment when Sanogo is trying to impress Wenger...[emoji23] [emoji23]
 
Nakumbuka mwaka Jana nilikuwa naenda Morogoro kwenye siti niliyokaa nilikaa na mrembo matata sana basi katika stori mbili tatu nikaomba phone number mtoto akanipa.Basi katika kuwasiliana siku nikaomba gemu kwa mtoto,akakubali lakini akanza kutangaza shida zake,nyambavu zake nikatupia kapuni basi wacha aanze kulia ooh mi nilikuwa nakutega,Mara nakupima kama kweli unanipenda.Kupendana kwenye hela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Emmy kama nakupenda bure hivi, maana toka mwanzo wa hii scenario umesimamia mahala pako na huhami, kizuri zaidi kila ukitype nasoma madini tupu. Na kikubwa haunipi hamu ya kufua kabisa yaelekea haukuli sabuni hovyohovyo[emoji2] [emoji2]
Shukrani sana mkuu.

[emoji2] [emoji2] Haya bana
 
Mzee Tuliagizwa wasio na tumaini tuwajaze mapendo.
Walio na njaa tuwape mikate
Na walio na sononeko la nafsi tuwape nafasi ndani ya mioyo yetu bwana.

Cc Asprin kwa uthibitisho zaidi.
Tatizo ni kuwa... wenye macho hawaoni na wenye masikio hawasikii
 
Back
Top Bottom