Katika kosa la kimaumbile ambalo huwa naona wanawake hawakui na hawajakamilika ni hili la mahusiano.
Jambo hili kwa mwanamke halina umri, kwamba akifikia umri fulani ataacha udhaifu wa kuombaomba misaada, hakuna. Na hili hupelekea kupeoerusha ndege wengi. Ni ajabu sana.
Hili nitalieleza vizuri.
Automatic wanawake wote duniani wameji"group".
Kuna wanandoa, wasioolewa(wasimbe, kwa ujane ama kutokujaaliwa),malaya na makahaba.
Wote ukikutana nao barabarani ni wanawake sawa ingawa wengine huonesha group lao mapema.
Ni mwanamke group la ndoa, ndiye pekee anayeweza kutegemea kutunzwa na mumewe %100.
Ma group mengine yote huingia kimahusiano na mwanamume kimkataba na makubaliano maalumu na si kupeana majukumu.
Kwa mfano malaya ama kahaba anayefanya mapenzi kibiashara, utakuta anamdai mteja ama hawara yake stahili za mke!
Utamsikia akiuliza, " unajua nakula nini, navaa nini" ebo! Hivi kulala na mwanamke kahaba tena kwa malipo, hapo unabebeshwaje majukumu mengine ya kifamilia?
Ni vurugu tupu.
Naachia hapa, lakini kama mwanamke haujaolewa, unastahili kujibeba mwenyewe.
Siyo kutegemea kutunzwa na wanaume ambao si waume zenu.