Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Hahahaaaa!! Wambea tunaishi miaka mingi sana maana tunahangaika na ya watu hivyo yetu yanakuwa hayatushughulishi.
Acha tupate umbea bwana, mkewe si kasema hatumii id yake ya siku zote jamani, acha mie niulize tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]
Espy embu acha ujinga ujue nimecheka mpaka nimepaliwa, kweli wabongo sisi ni kiboko
Yaan tukifatilia ya watu tunapata nafuu maana yetu yameshatushinda [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
 
Nishamsoma. Nilikuwa nimeshacomment tayari ila baada ya kuona comment yake nikashindwa hata kuifuta.
Wote wanamakosa hapo na ukiangalia wote hawana true love mahusiano yao ni yale ya kupeana kampani. Haya ni mambo madogo sana katika mahusiano.
Kitu kingine jamaa kafanya makosa sana. Hata kama alikuwa in the middle of something serious kwann hakumtaarifu? Unamtumia sms tu, Honey nimepata shida kidogo nitakutumia baada ya lisaa 1 au zaidi Na pia mwanamke anamakosa sana kwann aanze kutukana bila kuuliza kwanza? Hapo hakuna mapenzi.
KUHESHIMIANA NI JAMBO LA MUHIMU SANA KATIKA MAHUSIANO SBB MTAJALIANA.
Wewe ulisikia nilimtukana acha kusema uongo......onyesha nilipomtukana
 
Mbona mwanamke alipewa taarifa asubiri baada ya dakika 45, soma post [HASHTAG]#215[/HASHTAG]..!!
Nimegundua haujaelewa.......tatizo sio kutumiwa hela OMG.......ebu elewa basi
 
Point of Correction;

1. Wakati anaomba nilimweleza bayana itakuchukua dakika 45 mpaka lisaa limoja coz kuna ishu nafanya, hvyo nilimtaarifu.
2. Sikatai kosa, coz najua mimi ni mkoseaji mzuri tu but hata tunapokoseana jambo zuri ni kuongea
Halafu acha kunisingizia hapa mpaka nakupigia simu masaa zaidi ya 2 yalishapita na haukujibu kitu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]
Espy embu acha ujinga ujue nimecheka mpaka nimepaliwa, kweli wabongo sisi ni kiboko
Yaan tukifatilia ya watu tunapata nafuu maana yetu yameshatushinda [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
sema sasa shida yako hapa wana Jf wakuchangie hela Jf hakishindikani kitu.. Ila usimuache jamaa kisa hajakupa hela utakuwa ulimpendea hela
Sijafikia huko......
 
Ndio maana mnalalamika mahusiano hayadumu kwa sababu ya kujifanya nyie ndio wenye shida! Mwanaume hajakuoa unataka pesa yake ya nini? Kama una shida unaomba msaada kwa ndugu zako kwanza vinginevyo utaona hakuna mwanaume anayekujali kumbe ni tabia yako tu.
 
Una kichaa wewe kwahyo ndo ujiuze...chizi kweli mambo mengine kwan hupatakigi raha?nimeshajua kwann kachuna...quality za kugharamikiwa sifuri
Sawa.....tena mimi ni mbaya kuliko unavofikiria hapo yani sifai hata kuongwa.....bipolar
 
Dah ila maisha hayako fair kbs, me huwa naomba sana nipate mwanamke ambaye haombi hela ili nimpe mim mwenyewe pale ninapojickia...Ambaye nipo naye huwa anaomba sana na kila mwezi lazm nimtumie elfu 60+ lkn bado haridhiki...Nipo mbioni kumwacha.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Dah ila maisha hayako fair kbs, me huwa naomba sana nipate mwanamke ambaye haombi hela ili nimpe mim mwenyewe pale ninapojickia...Ambaye nipo naye huwa anaomba sana na kila mwezi lazm nimtumie elfu 60+ lkn bado haridhiki...Nipo mbioni kumwacha.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Hamjiongezagi ndio maana tunaomba.
 
Tumekukosea nini kaka yangu nimekufuatilia tangu mwanzo unatukandia tu.

Jamani kaka tusamehe basi.
Chezea kuisoma namba!! Stress unahamishia wengine ukiwaona ndio wabaya wako.
 
Sorry! Kwa kukuquote vibaya.
Ila naomba mkae chini myamalize. Kuombana pesa ni jambo la kawaida sana tena sana. Sijawahi kumnyima wifi yako hela lbd km mambo hayajakaa vizuri.
Noted
 
Wanawake viumbe wa ajabu sana yan unaenda kuonana na mtu afu unamuomba hela kwa cm shame on you
Mkuu mbona pesa ni kitu kidogo sana. Lbd uwe mwanaume suruali ndiyo utalalamika
MM MPENZI WANGU LAZIMA NIMPE HELA. Je, km anatoka home anakutana na mdaiwa wake? Unataka mpaka apelekwe polisi.
Wanaume wamepungua sana nyakati hizi
 
Back
Top Bottom