Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

We c utafutw kazi upate pesa zako unaombaomba nn mm wananiudh watu wenye hio tabia
 
Bahili tu kwani ulimwomba nyingi? Angekupa akakupima.

Binafisi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume yeyote sio kwamba sina shida niko tiyari kukopa kwa shoga ila sio kumwomba pesa mwanaume. Wanaume wengi mibahili mwanzo mwisho bora ufe na shida zako kuliko masimango.

Hela ya viumbe hawa ni chungu sana ukimuomba anakutafutia sababu. Binti ukizidiwa kopa kwa mtu baki ila sio mpz.

Kinachonishangaza wakiwa na shida tuko tiyari kwa lolote ili mradi tuwasaidie ila wao kutusaidia waziiito kama nn.

Wanaume make mkijua kuwa nyie ndo chanzo cha wanawake kuchepuka.sisi tukipenda unasahau yote ya zamani mapenzi tunahamishia kwa mpz sasa mpz gani kaombwa pesa kasepa kimya kimya? Kwa nn mtu usimkumbuke x wako ambae alikuwa anajiongeza hata usipomwomba? Hii ndo moja ya sababu sitowahi kuomba mwanaume pesa yake.akijua nina shida atume asipotaka aache.

Co bahili ela ngumu kutafuta, mshazoea mtelemko kupewapewa tu komaa na ww utafute zako uone km ni rahic kutoatoa tu, mcizoee kupewapewa mtafute na zakwenu
 
Usipopewa hela bora kukaa kimya. Unalalamika tena??
 
Hope mpo poa
Jamani kwa mfano unakuwa na boyfriend na mmepanga kumeet vizuri tu baadae ikatokea kitu ukamwambia naomba unisaidie hela kwa maana kuna mtu anahitaji na mimi nipo mbali na sehemu ya kutuma hela isitoshe haujawahi kumuomba hata siku moja ni hiyo siku tu ndo imetokea ukamuomba hela......baadae unampigia simu kumwambia mambo mengine hapokei simu zako wala kukujibu text......hivi kwanini inakuwa hivi naomba kujua
Hii mbona kama inanigusa hivi [emoji15] [emoji15] [emoji15] kuna dem mmoja nimemtongoza hivi juzi tu, amenambia ana shida na hela[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Co bahili ela ngumu kutafuta, mshazoea mtelemko kupewapewa tu komaa na ww utafute zako uone km ni rahic kutoatoa tu, mcizoee kupewapewa mtafute na zakwenu
Soma vizuri comment yangu
 
DADA ULIFANYA MISTAKE, ISHU SIYO KUOMBA HELA, ILA WAKATI HAUKUWA SAHIHI.
KUNA MDADA TULIPANGA TUKUTANE MARA YA KWANZA KATIKA GUEST 'X'.. BASI BHANA AKANIPIGA RUNGU LA HELA, NIKAMRUSHIA, BAADA YA HAPO SIMU HAKUPOKEA WALA MSG HAKUJIBU NA ROOM NILISHALIPA, NIKASEMA SWADAKTA. AFTER A WEEK AKANITAFUTA TENA, NA MIMI NIKAJFANYA KAMA HAKUNA LILILOTOKEA, AKAINGIA LAINI ZANGU NIKAMCHEZEA WEE... BAADA YA MWEZI NA MIMI NIKAKATA MAWASILIANO NA YEYE..
NB: HATA KAMA KWELI MNAOMBA HELA KWA NIA NJEMA, ANGALIENI MAZINGIRA NA EPUKENI LUGHA YA USANII.
 
Back
Top Bottom