Ohooo! Hehe kuna wenzenu wanawachafulia CV dada, kama huyu mleta uzi!Tumekukosea nini kaka yangu nimekufuatilia tangu mwanzo unatukandia tu.
Jamani kaka tusamehe basi.
brain is the beautiful part of the body.
Ohooo! Hehe kuna wenzenu wanawachafulia CV dada, kama huyu mleta uzi!Tumekukosea nini kaka yangu nimekufuatilia tangu mwanzo unatukandia tu.
Jamani kaka tusamehe basi.
Ila pole sana. Siku hizi wanaume wamebaki wachache sana. Hizi comment zingine zinazokuchafua moyo achana nazo hii ndiyo jamii haina tofauti unapoishi huko.Noted
Sasa kama huwa nakupa pesa ya matumizi kila mwisho wa mwezi zaid ya sh elfu 50 na bado ukipata emergency nakusaidia kuna haja gani ya kuomba pesa mara kwa mara...?Hamjiongezagi ndio maana tunaomba.
Na sisi hatutaki kuombwaombwa hela hovyo,tuna majukumu mengi kama nyie ambavyo mna majukumu,fanyeni kazi mjiingizie kipato,mambo yakutegemea wanaume jwanza yanashusha heshima,mi sioni sababu yawewe kushindwa kukopa nakusubiria mwanaume ndiye atatue shida zako.Wanawake mfike mahali mjitambue,msiishie kuvaa mawigi tu nakujipara halafu mnakua mnajidhalikisha.Wanawake wengine wanaona kabisa mnafanya kazi kwenye taasisi moja,kipato ni kilekile,lakini anataka eti keasababu ulishamlamba,uwe unasimamia bill zote,anashindwa kujiuliza kama mimi au sisi wanaume pia tunayo majukumu.Kupendapenda vya dezo ndiyomaana mnadhalilishwa kwakufanyiwa vitu vibaya na michepuko kwasababu inakua kama mnalipizwa.Bahili tu kwani ulimwomba nyingi? Angekupa akakupima.
Binafisi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume yeyote sio kwamba sina shida niko tiyari kukopa kwa shoga ila sio kumwomba pesa mwanaume. Wanaume wengi mibahili mwanzo mwisho bora ufe na shida zako kuliko masimango.
Hela ya viumbe hawa ni chungu sana ukimuomba anakutafutia sababu. Binti ukizidiwa kopa kwa mtu baki ila sio mpz.
Kinachonishangaza wakiwa na shida tuko tiyari kwa lolote ili mradi tuwasaidie ila wao kutusaidia waziiito kama nn.
Wanaume make mkijua kuwa nyie ndo chanzo cha wanawake kuchepuka.sisi tukipenda unasahau yote ya zamani mapenzi tunahamishia kwa mpz sasa mpz gani kaombwa pesa kasepa kimya kimya? Kwa nn mtu usimkumbuke x wako ambae alikuwa anajiongeza hata usipomwomba? Hii ndo moja ya sababu sitowahi kuomba mwanaume pesa yake.akijua nina shida atume asipotaka aache.
Ukiona namba inasomeka kwa yule unaemtegemea basi automatically hata wewe itakuhusu! Kama ilivyomgusa mleta uzi bila kujijua.Chezea kuisoma namba!! Stress unahamishia wengine ukiwaona ndio wabaya wako.
Mimi sishauri hiyo I'd ya zamani kuletwa hadharani maana yatazuka mengi zaidi ya mpesa/tigopesa siumemuona shemeji yetu mwenyewe alivyo na polite language au sijui anatuigizia ili wadau wamuone mwanamke mwenzetu ni mkorofi hapo sielew [emoji26][emoji26]Tunasubiri part two, inakuja saa ngapi?
Alafu mbona husemi hiyo id yake nyingine?
Nilivyosoma thread ya mtoa uzi na ya mwenzake ni misscommunication. Ila suala kuombana pesa ni kitu cha kawaida sana. Siwezi kushangaa ubavu wangu unaomba hela. Usipompa hela unataka nani ampe?Ohooo! Hehe kuna wenzenu wanawachafulia CV dada, kama huyu mleta uzi!
brain is the beautiful part of the body.
Na akipewa akimpatia huyo mwingine,aliyepokea anajiona bonge la mjanja,tena ukute ni graduate wakuanzia 2014,ambaye hana hata ajira,atajisifu kinomah na wenzake watamuona kama mtu mwenye bahati.Yaani hivi viumbe ukiondoa sifa ya kiutwa mama zetu, huwa ni viumbe vya ajabu kuwahi kuumbwa duniani.
Halafu anasema anamuombea pesa mtu mwingine?
Bahili tu kwani ulimwomba nyingi? Angekupa akakupima.
Binafisi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume yeyote sio kwamba sina shida niko tiyari kukopa kwa shoga ila sio kumwomba pesa mwanaume. Wanaume wengi mibahili mwanzo mwisho bora ufe na shida zako kuliko masimango.
Hela ya viumbe hawa ni chungu sana ukimuomba anakutafutia sababu. Binti ukizidiwa kopa kwa mtu baki ila sio mpz.
Kinachonishangaza wakiwa na shida tuko tiyari kwa lolote ili mradi tuwasaidie ila wao kutusaidia waziiito kama nn.
Wanaume make mkijua kuwa nyie ndo chanzo cha wanawake kuchepuka.sisi tukipenda unasahau yote ya zamani mapenzi tunahamishia kwa mpz sasa mpz gani kaombwa pesa kasepa kimya kimya? Kwa nn mtu usimkumbuke x wako ambae alikuwa anajiongeza hata usipomwomba? Hii ndo moja ya sababu sitowahi kuomba mwanaume pesa yake.akijua nina shida atume asipotaka aache.
Me hadi muda huu siamini kuwa jambo hili limewatokea hawa watu, ushahidi uletwe tu ili na mimi niamini.Mimi sishauri hiyo I'd ya zamani kuletwa hadharani maana yatazuka mengi zaidi ya mpesa/tigopesa siumemuona shemeji yetu mwenyewe alivyo na polite language au sijui anatuigizia ili wadau wamuone mwanamke mwenzetu ni mkorofi hapo sielew [emoji26][emoji26]
Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Kama shida imetokea usiombwe?Sasa kama huwa nakupa pesa ya matumizi kila mwisho wa mwezi zaid ya sh elfu 50 na bado ukipata emergency nakusaidia kuna haja gani ya kuomba pesa mara kwa mara...?
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Wanawake wengine hawafai kuoa kabisa,wanafaa kugongwa tu pale unapokua uko kwenye misunderstanding na mkeo au mkeo ujauzito ni mkubwa,unampa hela unakula mzigo hadi mkeo atakapokua tayari kushiriki nawewe tendo la ndoa,not all women are wives.Baadae mnasema wanaume wabaya wanapita na kuondoka kumbe mnajifanyia udalali kwenye miili yenu.
Ndio uanaume huo, pambana na hali yako.Na sisi hatutaki kuombwaombwa hela hovyo,tuna majukumu mengi kama nyie ambavyo mna majukumu,fanyeni kazi mjiingizie kipato,mambo yakutegemea wanaume jwanza yanashusha heshima,mi sioni sababu yawewe kushindwa kukopa nakusubiria mwanaume ndiye atatue shida zako.Wanawake mfike mahali mjitambue,msiishie kuvaa mawigi tu nakujipara halafu mnakua mnajidhalikisha.Wanawake wengine wanaona kabisa mnafanya kazi kwenye taasisi moja,kipato ni kilekile,lakini anataka eti keasababu ulishamlamba,uwe unasimamia bill zote,anashindwa kujiuliza kama mimi au sisi wanaume pia tunayo majukumu.Kupendapenda vya dezo ndiyomaana mnadhalilishwa kwakufanyiwa vitu vibaya na michepuko kwasababu inakua kama mnalipizwa.
Sikatai kuombwa pesa ila iwe kwa kiasi na huridhike na kushukuru ukipewa, kuna wanawake wengine hawaridhiki wala hawashukuru.Kama shida imetokea usiombwe?
Hawa wawili kinachoonekana hapa ni kwamba mmoja wao hajaridhika/ hajaamini kuwa watafikia ukomavu katika mahusiano yao!Nilivyosoma thread ya mtoa uzi na ya mwenzake ni misscommunication. Ila suala kuombana pesa ni kitu cha kawaida sana. Siwezi kushangaa ubavu wangu unaomba hela. Usipompa hela unataka nani ampe?
Tumieni hizo brain mpambane na hali zenu, mwanaume kulia lia ni dalili za upungufu wa hicho ulichokikazania.Ukiona namba inasomeka kwa yule unaemtegemea basi automatically hata wewe itakuhusu! Kama ilivyomgusa mleta uzi bila kujijua.
brain is the beautiful part of the body.
Mambo ya ushahidi sio mazuri aiseeh, maadam kila mtu ametoa la moyoni mwake basi yaishe kila mtu ashike ustaarabu wake.Me hadi muda huu siamini kuwa jambo hili limewatokea hawa watu, ushahidi uletwe tu ili na mimi niamini.
brain is the beautiful part of the body.
Hehehe wamekusikia ngoja waje!Wanawake wengine hawafai kuoa kabisa,wanafaa kugongwa tu pale unapokua uko kwenye misunderstanding na mkeo au mkeo ujauzito ni mkubwa,unampa hela unakula mzigo hadi mkeo atakapokua tayari kushiriki nawewe tendo la ndoa,not all women are wives.
Hapa shemeji katuigizia kabisaaaa, maana muda alosema atatuma ulipita sana baadae akawa hapokei hata simu!! Kwanini asitoe taarifa!!! Hii ni futuhi tu shemeji katuchezea.Mimi sishauri hiyo I'd ya zamani kuletwa hadharani maana yatazuka mengi zaidi ya mpesa/tigopesa siumemuona shemeji yetu mwenyewe alivyo na polite language au sijui anatuigizia ili wadau wamuone mwanamke mwenzetu ni mkorofi hapo sielew [emoji26][emoji26]
Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app