Ndo maana nimeelezea hapo juu umeona comment yangu watu wameishikia bango hivi mpz asipokusaidia nani tena wa kukusaidia?Hela ni ndogo mno niliyomuomba ila nilimshangaa sana.......uwa sipendi kuomba hela kwa mwanaume ila nilijikuta nimemuomba kutokana na situation niliyokuwa nayo
Unajua nilikuwa wapi au unaongea tuWe mwenyewe ulikua na yako na wala si kwamba haukuwa mahali rafiki kutuma hela!Sema tu na wewe ulikuwa na dhamira gani ili tujudge both sides!
Mlipokuwa mnakutania inachukua siku ngapi?Nilikuwa mbali na sehemu ya kuweka hela na uwa sina tabia ya kuomba hela......
Aiseee ile ni kafanya makusudi kabisa mi namjua sema angepokea tu maana hiyo hela nilikuwa nimeshaitumaMlipokuwa mnakutania inachukua siku ngapi?
BTW, huyo ni binadamu kama ulivyo anaweza kuwa amepatwa na tatizo, hana pesa, ni mbinafsi, ni mchoyo, hakupendi alitaka papuchi, ni mtu anayeheshimu ratiba zake na mengine mengi.
Hapa tuna speculate tu ila ndiye mwenye Jibu.
Kumbe bado unampenda licha ya kutokupokelea simu.Aiseee ile ni kafanya makusudi kabisa mi namjua sema angepokea tu maana hiyo hela nilikuwa nimeshaituma
Hahahahaaaaaa kumpenda hapana na sina muda huo wa kumpigia simu.......nimeshafunga kitabuKumbe bado unampenda licha ya kutokupokelea simu.
Tumia njia zingine kumpata uongee naye yaishe
Nakusikitikia kwani utakuwa unakimbiwa tu kama utaendelea hivyo!!!!!!!!!!!!Unajua nilikuwa wapi au unaongea tu
Kwa unataka kuniambia jimbo lipo huru?Hahahahaaaaaa kumpenda hapana na sina muda huo wa kumpigia simu.......nimeshafunga kitabu
Hahahahaaaaaa bora kuishi single kuliko kuwa na mwanaume😛Kwa unataka kuniambia jimbo lipo huru?
Naomba ukitoa form uniweke fent font nifanye application na mimi....
Haya mama Nas aliimba The world is yours.Hahahahaaaaaa bora kuishi single kuliko kuwa na mwanaume😛
Una uhakika????? Hivi wewe unaelewa maana ya kupata tatizo na ukawa mbali mtu anashindwa kukusaidia.......kama nitakimbiwa na kitu kama hicho acha tu wakimbie.....i don't fu.... careNakusikitikia kwani utakuwa unakimbiwa tu kama utaendelea hivyo!!!!!!!!!!!!
Jamaa kumbe yupo humu jukwaani?Unajua sometimes ni vizuri kuhoji kuliko kutuhumu mtu kwa suala usilokuwa na uhakika nalo especially unapoliongelea kwa hadhira kama hii ilhali muhusika anaona jumbe zako
Nakuona Alejandro, unataka kufanya yako!! 😉😉Kwa unataka kuniambia jimbo lipo huru?
Naomba ukitoa form uniweke fent font nifanye application na mimi....
Sio kama sikuwa na hela sema nilikuwa mbali na sehemu ya kutuma so nikaomba anisaidie na akakubali kabisa........kitu kilichonifanya nimind ni kutopokea simu na muda huo nilikuwa nimeshatoka nilipokuwa na hela nilishatuma.....why afanye vile au alimaanisha nini???Maisha yenyewe magumu haya , hivyo sio jambo la ajabu hilo.
Kama una shida jitahidi kutanguliza ombi mapema mana hiyo ghafla ghafla inabidi utegemee hayo aisee.
Pia jizoweshe kuwa na akiba yako kwa ajili ya kuwapa watu kama hao.