Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Hahaha you wish..haaha na wenye misimamo hii huwaga hawana kitu. Wanajibaraguza
Hahaha you wish..haaha na wenye misimamo hii huwaga hawana kitu. Wanajibaraguza
Kwa hiyo unafananisha hela na viungo vya mwili? Akili za wanawake wengine. Kumnyima viungo unaona umemkomesha.sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]kila mtu akibaki na hela na viungo vyake hakutakua na tatizo
wala sio kukomeshana mfano huyu dada asingeomba hela na kaka asingeomba kuonana nae unahisi hii thread ingeazishwa..uzinzi ndo chanzo cha matatizoKwa hiyo unafananisha hela na viungo vya mwili? Akili za wanawake wengine. Kumnyima viungo unaona umemkomesha.sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilichogundua wanawake ( baadhi yenu) huuona mwili wao kama source ya kupata pesa. Haya kila la kheri .usi assume kwamba chanzo ni kunyimwa penzi na je kama alikuwa hana hiyo pesa .angefanyaje?wala sio kukomeshana mfano huyu dada asingeomba hela na kaka asingeomba kuonana nae unahisi hii thread ingeazishwa..uzinzi ndo chanzo cha matatizo
Hope mpo poa
Jamani kwa mfano unakuwa na boyfriend na mmepanga kumeet vizuri tu baadae ikatokea kitu ukamwambia naomba unisaidie hela kwa maana kuna mtu anahitaji na mimi nipo mbali na sehemu ya kutuma hela isitoshe haujawahi kumuomba hata siku moja ni hiyo siku tu ndo imetokea ukamuomba hela......baadae unampigia simu kumwambia mambo mengine hapokei simu zako wala kukujibu text......hivi kwanini inakuwa hivi naomba kujua
Ulijaribu kwanza kumuomba baba yako?Hela ni ndogo mno niliyomuomba ila nilimshangaa sana.......uwa sipendi kuomba hela kwa mwanaume ila nilijikuta nimemuomba kutokana na situation niliyokuwa nayo
Hahaha!!Mimi mwanamke masikini masikini anayeomba omba hela simtaki.
Kwa sababu mimi si masikini masikini ninayeombaomba hela.
Ila bi Zuhura nimempa kadi yake ajinafasi anavyotaka.
Na hana ulimbukeni wa kutokwa macho mtoto wa watu.
Hahaha nikipewa napokea ndio.kwani nimeomba?
[emoji3][emoji3]Khaaa!
Ukiwa na pesa utazunguka viwanja vya wenye pesa utakutana na wenye pesa wanaotafuta wenye pesa wenzao.Hahaha!!
Mkuu Unakuta hutaki binti masikini, na huyo mwenye pesa nae humpati.
Ukisema ukomae kivyako ni noumaa.
Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
kama sio mtu wa viwanja je?Ukiwa na pesa utazunguka viwanja vya wenye pesa utakutana na wenye pesa wanaotafuta wenye pesa wenzao.
Labda uwe domozege tu.
Kama si mtu wa viwanja hata mtandao unahusika.kama sio mtu wa viwanja je?
Na kuwa na pesa huanzia kiwango gani?
Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
US $10,000? = Tsh 22,000,000?Kama si mtu wa viwanja hata mtandao unahusika.
Kuwa na pesa kwa standards za kibongo ni kuwa na uwezo wa kuunguza USD 10,000 kwa wiki bila kuua bendi.
Tatizo Mangi unaanglia watu wanaolipwa mshahara.US $10,000? = Tsh 22,000,000?
Hata Rais halipwi hivyoo!!
Mkuu Kwa Mwalimu mwenye bachelor aliye ajiriwa US kwenye shule za serikali analipwa bei gani kwa mwezi?Kama si mtu wa viwanja hata mtandao unahusika.
Kuwa na pesa kwa standards za kibongo ni kuwa na uwezo wa kuunguza USD 10,000 kwa wiki bila kuua bendi.