Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,816
- 15,578
Nimemshangaa ha ha haaa hakitendei haki chamaSiku hizi umehama kambi? Haya mambo ya kuombana hela yanakihusu chama?
Waambie Assist haijawahi kumwacha mtu salama.
Nimemshangaa ha ha haaa hakitendei haki chamaSiku hizi umehama kambi? Haya mambo ya kuombana hela yanakihusu chama?
Waambie Assist haijawahi kumwacha mtu salama.
Piganeni tuu watazamaji tuburudikeHii part two inaweza ikazaa ngumi mama[emoji3][emoji3][emoji125] [emoji125] [emoji125]
brain is the beautiful part of the body.
Nimekuelewa sana huyo achana nae hata kufaa maishaniNilikuwa mbali na sehemu ya kuweka hela na uwa sina tabia ya kuomba hela......
Usiwe hivyo bhanaa nani wa kukusikiza sasa kama sio mwenza omba kwanza akiwa hana ndo ukope mahala pengine maisha ya endeleeBahili tu kwani ulimwomba nyingi? Angekupa akakupima.
Binafisi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume yeyote sio kwamba sina shida niko tiyari kukopa kwa shoga ila sio kumwomba pesa mwanaume. Wanaume wengi mibahili mwanzo mwisho bora ufe na shida zako kuliko masimango.
Hela ya viumbe hawa ni chungu sana ukimuomba anakutafutia sababu. Binti ukizidiwa kopa kwa mtu baki ila sio mpz.
Kinachonishangaza wakiwa na shida tuko tiyari kwa lolote ili mradi tuwasaidie ila wao kutusaidia waziiito kama nn.
Wanaume make mkijua kuwa nyie ndo chanzo cha wanawake kuchepuka.sisi tukipenda unasahau yote ya zamani mapenzi tunahamishia kwa mpz sasa mpz gani kaombwa pesa kasepa kimya kimya? Kwa nn mtu usimkumbuke x wako ambae alikuwa anajiongeza hata usipomwomba? Hii ndo moja ya sababu sitowahi kuomba mwanaume pesa yake.akijua nina shida atume asipotaka aache.
Na wewe kwa kuchochea unapenda hehehePiganeni tuu watazamaji tuburudike
Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Pole binti hatufanani ujueHela ni ndogo mno niliyomuomba ila nilimshangaa sana.......uwa sipendi kuomba hela kwa mwanaume ila nilijikuta nimemuomba kutokana na situation niliyokuwa nayo
Twende taratibu utaelewa nilichomaanisha.Kama sijamuelewa vizuri huyo ni boy wake na imemtokea dharula huko aliko.ni kosa kumpa kampany
Sent from my LG-D838 using JamiiForums mobile app
Aisee we kaka nimekuelewa sana na ninashukuru kwa kuelewa nilichomaanisaNimekuelewa sana huyo achana nae hata kufaa maishani
ThanksPole binti hatufanani ujue
Huyu hayumo kwenye sifa za kiume kuhudumiaUchoyo tu na roho mbaya ndio maana wanatafutia na majina oooh "unajiuza" ili ujisikie vibaya usiombe, mara si umuombe mzazi wako, yeye why asimuombe mzazi wake!!!
Kama kapotezea nawe mpotezee tu, mwanaume mchoyo hivyo hata mkiingia kwenye ndoa atakuwa ni tatizo tu, ndio wale wa "nyumba yang,kochi langu,tv yangu" full uchoyo na ubinafsi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe kwa kuchochea unapenda hehehe
brain is the beautiful part of the body.
Huyo kaka mwenyewe uzuri anajua kama sina shida muulize uambiwe.......sio kila anayeomba hela tena inamaanisha hana.....muulize atakuambia kama nina shida za kihivoTwende taratibu utaelewa nilichomaanisha.
Demu tumepanga tukutane. Baada ya muda ananitumia text ya kumtumia ndugu yake pesa yeye kabanwa.
Maswali kwangu.
1. Kwanini kama tunakutana asifike huku then tukaitume wawili? Hapa atajitetea huyo mtu anashida saana tena ya haraka [emoji777]
2. Je, ni njia ya kuniomba nauli? Au ni kipimo cha kunipima ninaweza kutoboka au la?
Nikishajiuliza haya na kama mahusiano yana mwezi nitakaa kimya tu. Kuombwa pesa na mpenzi wako sio vibaya ila unatakiwa uzingatie muktadha.
Huo ndo uanaume ila ikizidi mnoo utachunguzwaNakupenda my kibonge maana u never count on any mistake nikipata dharul hujali wakat wakukuomba unatuma tu
Mimi nikiwa na shida naomba ila nahakikisha narudishaHivi kuna watu wanaomba wanawake pesa? Mi siwezi kumuomba mwanamke hela.aamue kunipa na si mkopo.siwezi kuomba hela kwa mwanamke mimi
Kila penye neno naomba pana shida bwana curious gal.Huyo kaka mwenyewe uzuri anajua kama sina shida muulize uambiwe.......sio kila anayeomba hela tena inamaanisha hana.....muulize atakuambia kama nina shida za kihivo
[emoji3][emoji3]utakuwa na undugu na shetani si bure![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu na fani zetu, nyoyo zetu hufurahia pale tunapoona ugomvi, mifarakano na mambo mengi yasiyo mazuri.
Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Nimezingatia hapo kaomba mpezi wake ila ndo dharula imempata sikua ya ahadi na kwa maelezo yake yeye pia anoyo ila yipo mbali nayo hivyo njia rahisi ni kwa ubani wakeTwende taratibu utaelewa nilichomaanisha.
Demu tumepanga tukutane. Baada ya muda ananitumia text ya kumtumia ndugu yake pesa yeye kabanwa.
Maswali kwangu.
1. Kwanini kama tunakutana asifike huku then tukaitume wawili? Hapa atajitetea huyo mtu anashida saana tena ya haraka [emoji777]
2. Je, ni njia ya kuniomba nauli? Au ni kipimo cha kunipima ninaweza kutoboka au la?
Nikishajiuliza haya na kama mahusiano yana mwezi nitakaa kimya tu. Kuombwa pesa na mpenzi wako sio vibaya ila unatakiwa uzingatie muktadha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]utakuwa na undugu na shetani si bure!
brain is the beautiful part of the body.
Alishatangaza jimbo lipo wazi nishachukua form yangu... muda wowote nitambadilisha jinaNimezingatia hapo kaomba mpezi wake ila ndo dharula imempata sikua ya ahadi na kwa maelezo yake yeye pia anoyo ila yipo mbali nayo hivyo njia rahisi ni kwa ubani wake
Tuko pamoja
[emoji3][emoji3]subiri akukute dada ako espy![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtumwa
Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app