Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Na sisi hatutaki kuombwaombwa hela hovyo,tuna majukumu mengi kama nyie ambavyo mna majukumu,fanyeni kazi mjiingizie kipato,mambo yakutegemea wanaume jwanza yanashusha heshima,mi sioni sababu yawewe kushindwa kukopa nakusubiria mwanaume ndiye atatue shida zako.Wanawake mfike mahali mjitambue,msiishie kuvaa mawigi tu nakujipara halafu mnakua mnajidhalikisha.Wanawake wengine wanaona kabisa mnafanya kazi kwenye taasisi moja,kipato ni kilekile,lakini anataka eti keasababu ulishamlamba,uwe unasimamia bill zote,anashindwa kujiuliza kama mimi au sisi wanaume pia tunayo majukumu.Kupendapenda vya dezo ndiyomaana mnadhalilishwa kwakufanyiwa vitu vibaya na michepuko kwasababu inakua kama mnalipizwa.
Rudia ukasome comment yangu mm siombagi na sijawahi na sutowahi
 
Hehe mimi nafanya jokes cha ajabu mwenzangu kanibadilishia mwandiko.

Ngoja nijiongeze ndugu yangu haya mambo wengine bado.

brain is the beautiful part of the body.
We ukibadili mwandiko ni joke ila mwenzio akibadili unamind!!!
Hata mimi nilikuwa najoke tu.
 
hizo ndo zetu tunapenda wenyewe tutoe bila kuambiwa,uliza sasa kivipi?Ni mapenzi yale ambayo utamuonesha mpenzi wako kiasi kwamba mwanaume mwenyewe akajua kwamba hapa ninapendwa kwa dhati,ndio unakuta tunafunguka,kumnunulia gari,kumjengea nyumba,na vitu vingine vya thamani ili nae mwanaume kumuonesha pia anampenda.sio kushoboka tu,ukute mahusiano yenyewe yana mwezi tu utasikia,Baby nitumie laki mbili tu nataka nikasuke nywele'""hapo hakuna mapenzi ni wizi mtupu.
Sasa kwani shida zina muda?
Na akipatwa na shida asikwambie?
Kama una mwanaume mtoaji ujue hata wewe mwenyewe unakiongeza tu. Lakini kama mchoyooo ndio kama hivi unamuomba tu.
 
Nakumbuka mwaka Jana nilikuwa naenda Morogoro kwenye siti niliyokaa nilikaa na mrembo matata sana basi katika stori mbili tatu nikaomba phone number mtoto akanipa.Basi katika kuwasiliana siku nikaomba gemu kwa mtoto,akakubali lakini akanza kutangaza shida zake,nyambavu zake nikatupia kapuni basi wacha aanze kulia ooh mi nilikuwa nakutega,Mara nakupima kama kweli unanipenda.Kupendana kwenye hela
 
Back
Top Bottom