Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Hata kama ungekuwa tanga na Jamaa yupo dar,niwajibu wako ww kumove kwenda kwa mpenzi wako Kwa gharama zako mwenyewe.

Hizo ulizomletea Jamaa ni style za wale wadada wanaotumia papuchi zao kama source of Income.

Nampongeza Mshkaji kwakustukia
Mjasiliachupi huyu...halafu anajitia kukaza kama kaonewa vile!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na yule mwanamke anapenda umbea sana wakati wapenzi wameshapatana yeye ana demand second edition [emoji39]

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
We ukitaka kujua wangapi tunasubiri ubuyu anzia pale chauchoyo alivyokuja kujibu hizi tuhuma zake. Siko peke yangu, hata wewe na daudi mnasubiri kwa hamu ni vile hamsemi tu.

Ila wameniudhi kweli, ndio nini sasa hawaleti part two[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahaaaaaa wewe sio mzima ujue ahahahaaaaaa bora ya mimi kuliko daud maana kama namuona hatozima data [emoji3][emoji3][emoji3] huku ni mwendo wa kung'ata na kupuliza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Basi make sure unawasisitiza watuletee hiyo part two [emoji111]
 
Daudi nae atakuwa ashatuma msg huko ya kuomba pesa kwa jimama lake anasubiri atumiwe hela huku anasubiri na ubuyu huku!!

daudthefarmer njoo unisaidie kusisitiza part two.
 
Hope mpo poa
Jamani kwa mfano unakuwa na boyfriend na mmepanga kumeet vizuri tu baadae ikatokea kitu ukamwambia naomba unisaidie hela kwa maana kuna mtu anahitaji na mimi nipo mbali na sehemu ya kutuma hela isitoshe haujawahi kumuomba hata siku moja ni hiyo siku tu ndo imetokea ukamuomba hela......baadae unampigia simu kumwambia mambo mengine hapokei simu zako wala kukujibu text......hivi kwanini inakuwa hivi naomba kujua
Alikualika sehemu mkutane nawe ukawa na shida yako ukamwambia,ni mpishano wa mawazo pengine alielewa unataka fadhila kwa mwaliko au ni masharti yoko ili uitikie.ulifanya mistake kidogo ungesubiri ,hapo kila mtu alichukuliaTofauti
 
Kuomba ni sawa ila lazima uwe strategic ...haiwezekani iwe coincidence siku ya miadi ndio unipige mzinga..simply mwanaume anaunganisha nukta na ndipo anapokuona kama "unafanya biashara" na huna upendo wankueleweka!

Sent from my SM-A800I using JamiiForums mobile app
 
Daudi nae atakuwa ashatuma msg huko ya kuomba pesa kwa jimama lake anasubiri atumiwe hela huku anasubiri na ubuyu huku!!

daudthefarmer njoo unisaidie kusisitiza part two.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daudtheformer
Njoo huku ujibu tuhuma zako

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
 
Hatukatai kuomba pesa au msaada lkn kama ulivyo sema kuwa first meeting! Then you asking for help? Before meeting? You kidding me
 
Back
Top Bottom