Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Akuuuu!! Ubakie huko huko, yeye ndio anakuweza.
Hata wewe utaniwezagatu....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Skuizi nishaacha ubazazi...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nimemrudia Mungu....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Hata wewe utaniwezagatu....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Skuizi nishaacha ubazazi...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nimemrudia Mungu....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Basi baki na Mungu.
 
Mhhh.......
Nimestukia picha....
Minimechagua kubaki na wewe...[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Khaaah!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We baki na Mungu bwana.
 
Yaan huu uzi wanaume mtauchangia sana kwasababu wengi wenu kwenye swala la pesa ni wabinafsi, roho mbaya na ubahili juu.

Nyie wanawake mnavotuchunaga pesa mnakuwa na roho nzuri eeh, huyo boyfriend wa mtoa mada bila shaka alikuwa anahudumia sana wanawake kwenye mahusano yake yaliyopita, hlf yakamkuta ya kumkuta baadae akaona ni uboya kumpa mwanamke pesa nyingi espcly demu ambae sio mkeo.

Mtoa mada the thing is, im 90% sure kuwa huyo boyfriend wako hakuamini amini, na alifikiri unamchuna thats why hakupokea simu yako..he thinks u are somehow trying to take advantage of him & his money Neybright Curious gal
 
Kwa mfano msingepanga kukutana ungemuomba,Kwa hiyo mkitongozwa nywele zinasisimka.Acheni hizo maisha magumu nyie Tumeshawachoka msipobadilika mtasaga meno sana.
 
Bahili tu kwani ulimwomba nyingi? Angekupa akakupima.

Binafisi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume yeyote sio kwamba sina shida niko tiyari kukopa kwa shoga ila sio kumwomba pesa mwanaume. Wanaume wengi mibahili mwanzo mwisho bora ufe na shida zako kuliko masimango.

Hela ya viumbe hawa ni chungu sana ukimuomba anakutafutia sababu. Binti ukizidiwa kopa kwa mtu baki ila sio mpz.

Kinachonishangaza wakiwa na shida tuko tiyari kwa lolote ili mradi tuwasaidie ila wao kutusaidia waziiito kama nn.

Wanaume make mkijua kuwa nyie ndo chanzo cha wanawake kuchepuka.sisi tukipenda unasahau yote ya zamani mapenzi tunahamishia kwa mpz sasa mpz gani kaombwa pesa kasepa kimya kimya? Kwa nn mtu usimkumbuke x wako ambae alikuwa anajiongeza hata usipomwomba? Hii ndo moja ya sababu sitowahi kuomba mwanaume pesa yake.akijua nina shida atume asipotaka aache.

Wee utakuwa unampaga ex wako papuchi
 
Ni ishara kuwa unajiuza
mwenzio anategemea sex na mpenzi wake
na wewe unachomekea shida ya pesa hapo hapo...

Mwanamke anaejiheshimu haleti shida ya pesa siku ya kukutana na mpenzi wake
subiri siku ingine kabisa zungumza shida zako
ikija siku ya kukutana...iwe ni mapenzi tu na sio kuuziana
Kwel kabisa [emoji23]
 
Ah....kwa sababu co mtoaji ndio angekupotezea muda eeeee sawa tumekuelewa dada hii kauli yko imenishtua sana naona km jamaa machale yalimcheza hv big up to him ingawa kwa upande wng siungi mkono mwanaume kutomsaidia mpnz wke ple inapoonekana kweli ana shida mwanaume anaejielewa hasubiri kuombwa na siungi mkono pia mwanamke ombaomba mwanamke anaejielewa haombi ombi ila "anaomba" kuna tofauti hpo kati ya kuombaomba na kuomba ple inapobidi kweli!
Sijawahi kumuomba hela hata siku moja na analijua hilo na isitoshe hiyo hela niliyomuomba sikuwa na shida nayo binafsi bali kuna mtu nilitaka ampe na ni hela ndogo sana elfu 15 au ulijua nimemuomba shilling ngapi labda.........yani mwanaume mzima unaombwa elfu 15 umtunie mtu unakimbia tena ni boyfriend huyo na nilimuambia nimeshindwa kutoka kutokana na hiyo sehemu ipo mbali na tigo pesa........yani elfu 15 ndo anione najiuza😀😀 narudia tena kusema ni mjinga
 
Kwa kauli zako unaonekana ni muuza K, kama kweli ulimpenda kwa dhati ungetafuta any means ya kumtafuta ili muongee kuhusu lililotokea.
Nimtafute niongee nae nini labda wakati hakuwa anapokea simu zangu isitoshe na hiyo hela nilikuwa nimeshatuma baada ya kutoka nilipokuwa lakini bado hakuwa anapokea simu.......ulitaka nimbembeleze au???? Acha anione anavojua yeye sina shida nae mimi
 
Nimtafute niongee nae nini labda wakati hakuwa anapokea simu zangu isitoshe na hiyo hela nilikuwa nimeshatuma baada ya kutoka nilipokuwa lakini bado hakuwa anapokea simu.......ulitaka nimbembeleze au???? Acha anione anavojua yeye sina shida nae mimi
Kama uhusiano wenu ni wa muda mrefu una haki ya kuachana nae, Lakini kama ndiyo mpya na tena ndiyo mara ya kwanza mlipanga kwenda kuonana nae, tafuta hata simu ya rafiki yako mpigie ili umweleze kilichotokea ili ujisafishe.

Jamaa atawaza wewe ni muhuni na malaya sana.
 
Kama uhusiano wenu ni wa muda mrefu una haki ya kuachana nae, Lakini kama ndiyo mpya na tena ndiyo mara ya kwanza mlipanga kwenda kuonana nae, tafuta hata simu ya rafiki yako mpigie ili umweleze kilichotokea ili ujisafishe.

Jamaa atawaza wewe ni muhuni na malaya sana.
Nilishamwambia mwenyewe na wala hakujishtukia uwa sipendi kuingiza masuala ya marafiki kwenye relationship yangu
 
Back
Top Bottom