Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,816
- 15,578
Ninakuamini kwa hilo umefanya vema kuwahi kuchukua form nasubili matokeo tuAlishatangaza jimbo lipo wazi nishachukua form yangu... muda wowote nitambadilisha jina
Ninakuamini kwa hilo umefanya vema kuwahi kuchukua form nasubili matokeo tuAlishatangaza jimbo lipo wazi nishachukua form yangu... muda wowote nitambadilisha jina
Acha niendelee kujinadi Pm maana mapenzi siasa bwana.Ninakuamini kwa hilo umefanya vema kuwahi kuchukua form nasubili matokeo tu
Haya mkuu usemavyo ndivyo mana kama sivyo ingetuhusu wote at
Mkuu naona unataka kunisaidia kazi mkuu
Hivi jamaa kumbe upo unanisoma hapa hapa.Mkuu naona unataka kunisaidia kazi mkuu
Bahili tu kwani ulimwomba nyingi? Angekupa akakupima.
Binafisi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume yeyote sio kwamba sina shida niko tiyari kukopa kwa shoga ila sio kumwomba pesa mwanaume. Wanaume wengi mibahili mwanzo mwisho bora ufe na shida zako kuliko masimango.
Hela ya viumbe hawa ni chungu sana ukimuomba anakutafutia sababu. Binti ukizidiwa kopa kwa mtu baki ila sio mpz.
Kinachonishangaza wakiwa na shida tuko tiyari kwa lolote ili mradi tuwasaidie ila wao kutusaidia waziiito kama nn.
Wanaume make mkijua kuwa nyie ndo chanzo cha wanawake kuchepuka.sisi tukipenda unasahau yote ya zamani mapenzi tunahamishia kwa mpz sasa mpz gani kaombwa pesa kasepa kimya kimya? Kwa nn mtu usimkumbuke x wako ambae alikuwa anajiongeza hata usipomwomba? Hii ndo moja ya sababu sitowahi kuomba mwanaume pesa yake.akijua nina shida atume asipotaka aache.
Teh nami sizidishi ndio maan ananipaHuo ndo uanaume ila ikizidi mnoo utachunguzwa
Sent from my LG-D838 using JamiiForums mobile app
Vizuri sana kama upo hivyoTeh nami sizidishi ndio maan ananipa
Watu wanamitambo kama ile ya USA kukwepa kila aina ya komboraAnakwepa hicho kibomu
Hahaaaa, nani kakuficha sumbai, sikuhizi huinekaniWatu wanamitambo kama ile ya USA kukwepa kila aina ya kombora
Nipo sema babu yako alinipiga mkwara saana. Popote pale ambapo upo...sisogeiHahaaaa, nani kakuficha sumbai, sikuhizi huinekani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]subiri akukute dada ako espy!
brain is the beautiful part of the body.
Sizungumzii ubaya wa sura nazungumzia quality za kusababisha nitoe hela yangu nikupe...unaweza kuwa mzuri ila bogus kbsSawa.....tena mimi ni mbaya kuliko unavofikiria hapo yani sifai hata kuongwa.....bipolar
[emoji3][emoji3][emoji3]wonderful[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na yule mwanamke anapenda umbea sana wakati wapenzi wameshapatana yeye ana demand second edition [emoji39]
Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app