Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Hope mpo poa
Jamani kwa mfano unakuwa na boyfriend na mmepanga kumeet vizuri tu ila baadae ikatokea kitu ukamwambia naomba unisaidie hela kwa maana kuna mtu anahitaji na mimi nipo mbali na sehemu ya kutuma hela isitoshe haujawahi kumuomba hata siku moja ni hiyo siku tu ndo imetokea ukamuomba hela.
Baadae unampigia simu kumwambia mambo mengine hapokei simu zako wala kukujibu text.
Hivi kwanini inakuwa hivi naomba kujua