Nani unamwona kama Great Thinker hapa JF?

Nani unamwona kama Great Thinker hapa JF?

Acha ushenzi mshamba mbeba mabox wewe.

Mimi ni GOAT in the making. Ain't no one can talk me out of it. Na hakuna wakunipangia...

Ni wewe mshamba na shilawadu kukaa unafatilia kila steps za greatbones
Hapa ndio umeonyesha ugenius sio?
Ndio maana ShesRise_1 alikutimua ili usimuambukize mikosi.
 
Unamaanisha leo atalala usingizi mnono hapo kwenye sofa la shemeji yake hadi ataota ndoto nyevu!?
Haka kajamaa kanahangaika sana na JF mpaka kanatia huruma,

Inaonekana kwenye maisha ya uhalisia kanadharaulika sana,faraja yake pekee imebaki hapa JF tu,kakifungua vinyuzi vyake na watu wakachangia ndio inakapa faraja kua kana thamani fulani,

Inaonekana hata kwenye familia yake wamekatenga sana,ni kamtu kapweke sana
 
Uta ongea sana mshamba wewe,
Nilisha kwambia you'll never take my shine away you dumbass. Unajisumbua tu maana you're low both mentally and psychologically
 
Kigezo cha kuwa genius au great thinker ni kuwa na PESA kwanza

You can't be smart and broke
Unamjua Nikola Tesla au unaongea tu

Kwa Taarifa Yako majitu yenye Akili nyingi hayana pesa Sana angalia Kuanzia kina Galileo Galilei, Kina Niel Bohr ambao walitafuta angular momentum ya electron kuzunguka nuclear ya atom, Kina Isac Newtown Hadi ma Professor wa Sasa hawana uchumi Sana

Kwa Sababu Muda wao mwingi wanaweka kwenye Kusoma na kufikilia Vitu ambavyo Dunia inazani ni Impossible.
 
They work in darkness na sio watu wenye kujali materialistic stuff
 
Kusaidia watu wawili watatu huku jukwaani hamkufanyi mtu kua great thinker. Kwangu Mimi great thinker ni mtu ambae jamii inanufaika na mchango wake wa moja kwa moja kijamii, kisiasa, kiuchumi na kimaendeleo kwa ujumla. Tuna matatizo mengi sana kwenye hizo angles nne kwenye nchi yetu. Sasa kama mtu anatoa mawazo humu with hiden identity na huku tuko wachache tu, kuna jamii kubwa nje ya hili jukwaa inasuffer vibaya mno kutokana na changamoto mbali mbali zinazotokana na aina ya siasa tuliyonayo ambayo inaathiri moja kwa moja uchumi na maendeleo yetu kwa ujumla. Kwahiyo mleta mada labda uzi wako uubadilishe uwe "Nani anaweza kutoa ushahidi vile amesaidia jamii inayomzunguka nje ya hili jukwaa kutokana mchango wake wa mawazo humu ndani kuonekana una mashiko sana"? Yani ni sawa tu tumuulize mwanafunzi wa Chuo kua ametumiaje elimu aliyoipata Darasani kutatua changamoto zinazoikabili jamii inayomzunguka kutoka zile A na B+ alizokua anapata kwenye mitihani. Otherwise tuendelee kupiga stori zetu zile zile na kuskilizia michongo na mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye nchi yetu
 
Unamjua Nikola Tesla au unaongea tu

Kwa Taarifa Yako majitu yenye Akili nyingi hayana pesa Sana angalia Kuanzia kina Galileo Galilei, Kina Niel Bohr ambao walitafuta angular momentum ya electron kuzunguka nuclear ya atom, Kina Isac Newtown Hadi ma Professor wa Sasa hawana uchumi Sana

Kwa Sababu Muda wao mwingi wanaweka kwenye Kusoma na kufikilia Vitu ambavyo Dunia inazani ni Impossible.

Huu mfano wako haupo na uhalisia is not actual
 
Kijana wa ifoza na marcostilon hawa jamaa wana uelewa wa kufafanua mambo na piah hueleza fact point huwa na enjoy sana kusoma conent zao
 
Huu mfano wako haupo na uhalisia is not actual
Kafatilie Maisha ya Nicola Tesla,
Alikufa maskini Pamoja na Uvumbuzi wake unao tumika Hadi sasa Duniani Kote,

Ndio maana nasema kuwa great thinker wengi hawajawekeza Muda kwenye kujenga uchumi binafsi bali Kusomna na kuvumbua mambo yanayo aminika kuwa hayawezekani.

Fikiria professor wa kizazi hiki anasoma more than 27 year ilikupata uo u professor, Muda Gani ata kutengeneza Hela?, zaidi ya zile za kulipwa serikalini.
 
Back
Top Bottom