Nani unamwona kama Great Thinker hapa JF?

Nani unamwona kama Great Thinker hapa JF?

Hapo wote vichwa japo kiranga naweza nkamtoa mana hua anakosa akili anapo pinga uwepo wa mungu ila the rest wote ni TOP NOTCH 🔥
Kmhakuna kitu hapo mkuu

Binafsi naona ni watu wa kawaida sana.

Misamiati na kuanzisha mada fikirishi sio kigezo cha kuwa great thinker..

Labda huyo Bob Manson naona anakuja kidogo. Ila wengine kama huyu binti kiziwi hakuna kitu,

Kuna member mrembo anaitwa ShesRise_1 huyu ni great thinker.
 
Crush ako sio 😎 ?

upo sahihi lakini sjapitia threads zake kwa kina.
 
Wanawake mara nyingi wanahitaji consistent trials
Kama ni treasure itatake time kuipata ila fr kama upo deep sana juu yake trust your gut go again for it.

Sema inaonekana labda watu wanakukatisha tamaa ila trust your inner self, just try, try and try never tired for what you love 😎
Thanks bro, I'll do whatever I can.
I'll keep shooting my shots,

Wewe Binti wa zamani na binti kiziwi naombeni baraka zenyu
 
Lengo la huu uzi lipo hapa,hayo maelezo mengine ni geresha tu,

So,mlio mtaja mleta mada ndio mmeuelewa uzi vizuri sana,basi leo atalala akiamini kua ni kweli yeye ni GT coz lengo la huu uzi lilikua ni hilo tu.
Mleta mada alinukuliwa akisema, "napenda sana kuwa center of attention". Huyu jamaa asipopata attention atajinyonga aisee 😂

Mi nimeamua tu kumpa attention ili tu asijinyonge.
 
Ni vile tu wengi tunapenda kuonekana tunajua kila kitu, hatujui kufunga midomo sababu ya ujuaji.

Kama tungekuwa tunafungua vinywa kuongea yale tunayofahamu vizuri huku tukifungua masikio kusikiliza yale tusiyoyaelewa kila mtu angekuwa genius.
 
Mleta mada alinukuliwa akisema, "napenda sana kuwa center of attention". Huyu jamaa asipopata attention atajinyonga aisee 😂

Mi nimeamua tu kumpa attention ili tu asijinyonge.
Ulisha ona GT anaanzisha uzi wa kusema amemla Dada wa rafiki yake! Ulishawahi kuona GT anaanzisha uzi wa kumchukia Baba yake?

Kwanza mara nyingi maGT wa JF hua wanapatikana zaidi kwenye comments na sio kwenye kuanzisha vinyuzi kila dakika.

VAR

Back
Top Bottom