Nani unamwona kama Great Thinker hapa JF?

Nani unamwona kama Great Thinker hapa JF?

Kwa sisi wenye kuleta mada fikirishi, na kwa faida ya member ambao wanahitaji wa kupata suluhu ya jambo, au kupata like minds, ambao wanaweza kujadili vitu kwa mapana. Inaweza hata kuwa mwanzo wa kupata idea zenye kisaidiana kwenye hustle zetu za kila leo.

Naomba leo tuwekane wazi ni wakina nani waki comment wanakupa ile activation ya kufikiria zaidi?

Mtag tumjue na ikiwezekana mwekee na u genius wake unapotea wapi. Ili tujue namna ya kumtumia endapo unataka kujua kitu katika angle hiyo..

Tiririkeni wakuu.

Mada kama hizi kwa mtu ambaye ni Great thinker hawezi kuzipokea bila ushahidi.
Hapa inatakiwa ukimtaja mtu uweke na ushahidi wa mada zake mbili au tatu zilizokufanya wewe uone ni Great thinker ili na wengine wakuunge mkono; hii kutaja taja tu; haiendani na Great thinker....
 
Back
Top Bottom