Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,845
- 90,306
Nimemention tu mkuu kwa upande wangu
Haina shida mkuu
Nimemention tu mkuu kwa upande wangu
Ahahahahahha ma Great thinker makini kabisa...Ni wawili tu jf tangu ianzishwe Vishu Mtata na Poor Brain
Charles Mandela anajua kucheza chandimu, lakin kucheza ligi yoyote hawezi..Kwa sisi wenye kuleta mada fikirishi, na kwa faida ya member ambao wanahitaji wa kupata suluhu ya jambo, au kupata like minds, ambao wanaweza kujadili vitu kwa mapana. Inaweza hata kuwa mwanzo wa kupata idea zenye kisaidiana kwenye hustle zetu za kila leo.
Naomba leo tuwekane wazi ni wakina nani waki comment wanakupa ile activation ya kufikiria zaidi?
Mtag tumjue na ikiwezekana mwekee na u genius wake unapotea wapi. Ili tujue namna ya kumtumia endapo unataka kujua kitu katika angle hiyo..
Tiririkeni wakuu.
Mkuu haya matani ni next levelNi wawili tu jf tangu ianzishwe Vishu Mtata na Poor Brain
Good👍Kwangu mimi, Great Thinker ni yule anayejadili hoja kwa mantiki, ushahidi na mtazamo mpana bila kushambulia watu. JF ina members wengi wenye uwezo huo, na mara nyingi hoja nzuri ndiyo hunifanya nikubali mtu ana fikra pana kuliko jina lake. 👏
Kwa hiyo unataka kusemaje kuhusu member aitwae Seran? Mbona umerusha jiwe giza I mkuu? 😂
Sasa wewe member mgeni?? Na umetaja ID kongwe?🙌 TOP ni hawa. 👑
General ni hawa . 🏅
Marcostilone
MALCOM LUMUMBA
Bob Manson
Kiranga
Science na curiosity ni hawa 🥈
verify
dosho12
Ushauri overall ni hawa. 🥉
Robert Heriel Mtibeli
binti kiziwi
BURNING spear
Mkuu nna miaka takribani 10 humu kwahiyo usihisi nabashiri hao nlio wataja ndo vichwa zaidi kwangu mimi.Sasa wewe member mgeni?? Na umetaja ID kongwe?
Hapo wote vichwa japo kiranga naweza nkamtoa mana hua anakosa akili anapo pinga uwepo wa mungu ila the rest wote ni TOP NOTCH 🔥Japo sio wote ila umejitahidi
BIG NOKigezo cha kuwa genius au great thinker ni kuwa na PESA kwanza
You can't be smart and broke