Nani unamwona kama Great Thinker hapa JF?

Nani unamwona kama Great Thinker hapa JF?

Ulisha ona GT anaanzisha uzi wa kusema amemla Dada wa rafiki yake! Ulishawahi kuona GT anaanzisha uzi wa kumchukia Baba yake?

Kwanza mara nyingi maGT wa JF hua wanapatikana zaidi kwenye comments na sio kwenye kuanzisha vinyuzi kila dakika.
Basi GT wetu mpya wa humu anakula dada wa rafiki yake. Huku ni kupatwa kwa JF.
 
Ni vile tu wengi tunapenda kuonekana tunajua kila kitu, hatujui kufunga midomo sababu ya ujuaji.

Kama tungekuwa tunafungua vinywa kuongea yale tunayofahamu vizuri huku tukifungua masikio kusikiliza yale tusiyoyaelewa kila mtu angekuwa genius.
Binafsi nadhani huu ni ukweli mtupu, 🔥
 
Lengo la huu uzi lipo hapa,hayo maelezo mengine ni geresha tu,

So,mlio mtaja mleta mada ndio mmeuelewa uzi vizuri sana,basi leo atalala akiamini kua ni kweli yeye ni GT coz lengo la huu uzi lilikua ni hilo tu.
Unamaanisha leo atalala usingizi mnono hapo kwenye sofa la shemeji yake hadi ataota ndoto nyevu!?
 
Ulisha ona GT anaanzisha uzi wa kusema amemla Dada wa rafiki yake! Ulishawahi kuona GT anaanzisha uzi wa kumchukia Baba yake?

Kwanza mara nyingi maGT wa JF hua wanapatikana zaidi kwenye comments na sio kwenye kuanzisha vinyuzi kila dakika.

VAR

Acha ushenzi mshamba mbeba mabox wewe.

Mimi ni GOAT in the making. Ain't no one can talk me out of it. Na hakuna wakunipangia...

Ni wewe mshamba na shilawadu kukaa unafatilia kila steps za greatbones
 
Lengo la huu uzi lipo hapa,hayo maelezo mengine ni geresha tu,

So,mlio mtaja mleta mada ndio mmeuelewa uzi vizuri sana,basi leo atalala akiamini kua ni kweli yeye ni GT coz lengo la huu uzi lilikua ni hilo tu.
Kwani uongo..

I am GT, Iam famous, Iam genius.

In fact that's a painful truth and everyone knows it.
 
Kwa sisi wenye kuleta mada fikirishi, na kwa faida ya member ambao wanahitaji wa kupata suluhu ya jambo, au kupata like minds, ambao wanaweza kujadili vitu kwa mapana. Inaweza hata kuwa mwanzo wa kupata idea zenye kisaidiana kwenye hustle zetu za kila leo.

Naomba leo tuwekane wazi ni wakina nani waki comment wanakupa ile activation ya kufikiria zaidi?

Mtag tumjue na ikiwezekana mwekee na u genius wake unapotea wapi. Ili tujue namna ya kumtumia endapo unataka kujua kitu katika angle hiyo..

Tiririkeni wakuu.
Hili ni jukwaa la nyumbu wa chadema, wale wote wanaoipinga serikali na kuitukana ndiyo great thinkers wa JF na usisahau na wale wa hadithi za kusadikika km yule mpare Mshar jr
 
Back
Top Bottom