naunga mkono hoja kwa nguvu zangu zote.Kigezo cha kuwa genius au great thinker ni kuwa na PESA kwanza
You can't be smart and broke
na I don't care kweli😄,, nijibu bwana aahUnaandika kama wale mabinti "I don't care" usinichoshe akili
Mshana Jr na Mayala
Factnaunga mkono hoja kwa nguvu zangu zote.
halafu me sijawahi kuona mwenye pesa nyingi asiye na akili timamu wala asiye genius.
pesa kwanza bana, pesa ndo kipimo cha akili nyingi
Kwa hiyo unataka kuniambia Doto magari au mwijaku nao ni ma great thinker?naunga mkono hoja kwa nguvu zangu zote.
halafu me sijawahi kuona mwenye pesa nyingi asiye na akili timamu wala asiye genius.
pesa kwanza bana, pesa ndo kipimo cha akili nyingi
HIvi raraa reree ni jinsia gani?raraa reree ndiye mtalaamu. Ikiwapendeza apewe awe Mod
Huyo ni taasisi sio individual.HIvi raraa reree ni jinsia gani?
Baada ya kuweka comments niliona kama ni mwanamke baada ya muda mrefu kudhani ni dume.