cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,800
Jamani wakubwa wangu heshima kwenu!! Pamoja na kuwa mmoja wa p4, nawaangukia kuwaombeni kura zenu kwa uwingiiiiiiiii! Na msiponipigia hakika kundi la 'masalia' litakesha kunipigia! Nawatakieninkila la kheri katika kunipigia kura!
Mwahhhhh to ol of u! gfsonwin, Zinduna, FP BADILI TABIA, yummy, Paloma, Zion Daughter, Catherine, The secretary, amu, Chauro, Smile, sweetlady, Kongosho, Kipipi, First lady1,
jamani na wakaka woteeeeeeeeee mkianziwa na hubby wangu Asprin, shem wangu wa ukwee Kaizer na mahommies wa hubby, TANMO, Teamo, Fidel80, kura zenu plzzzzzzz! Nipo safarini nampeleka mama kwenye matibabu tena! Nikipotea basi gfsonwin na Asprin miniendelezee kampeni zangu! Mwahhhhhh!

Last edited by a moderator: