Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Wana chit chart nakuja kwenu natanguliza shukran zangu kwani bila nyinyi nisingefika hatua hii pia naomba ushirikiano mliokuwa mkinipa uendelee naombeni kura zenu naahidi sitowaangusha kila mmoja ana nafasi kubwa kwenye maisha yangu ndio mana niko nanyi hapa. NAOMBENI KURA AND WILL ALWAYS BE GREATFUL. LOVE YOU ALL and much thanks to Ruhazwe Jr
 
huu ni ubaguzi wa wazi na dhahiri.
Kwanza ni vigezo gani ulivyotumia kupata hao warembo hapo juu, na kwa nini jina langu na la lara 1 halipo kwenye hicho ulichoita 'nafasi ya upendeleo'?

Hapa lazima nipige kampeni ya kususia huu mtanange, mpaka utupe majibu ya kina.

Hii haikubaliki kabisa kijana.
Zinduna lazma kieleweke mwisho wa siku, kwa sasa hebu nipigie kura kwanza, mambo mengine baadae! Mzima lakini shost wangu?
 
Last edited by a moderator:

Na usisahau safari hii upigaji kura ni tofauti,poll imewekwa juu kabisa na sio kuandika majina kama ilivyokuwa kipindi kilichopita,ni bora kila aliye upande wetu aitendee haki hiyo poll kwa kumpigia kura Arabela.Shuran kwa Mods kwa kutambua uwepo wetu na kutuwekea poll hii ya kisasa kabisa...
 
Nadhani Mods inabidi watusaidie coz kwa wengine vimchina vinazingua ku access poll, waruhusu tukiandika Arabela kama post waimuvuzishie kwenye poll
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom