Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Nawaita PakaJimmy, Mungi, zomba, Filipo nitonye Mamzalendo, marejesho Erickb52, Arushaone, Mamndenyi, Bishanga, Dena Amsi, Mr Rocky , FP Lily Flower, mwaJ snow white sweetlady, watu8, measkron, HYGEIA Husninyo, AshaDii, The Boss, Mphamvu, Paloma, zubedayo_mchuzi, Ruttashobolwa, gfsonwin, King'asti, Kongosho, Kaunga, Smile, platozoom, ndetichia, BADILI TABIA, BAK Asprin Mtambuzi Rejao, Dena Amsi, Nicas Mtei, Dark City, Mzee wa Rula, Kijino, nivea, giLESi, mary hunbig, stevoh na wengineo mje hapa mumpigie kura Arabela awe miss chit chat wa mwaka 2012, ni binti mrembo,mtaratibu,mwenye nidhamu na anawapenda wana chit chat wote kura ni kwa Arabela aaaaa

Mie namunga mguu Erickb52 mcheza kwao hutunzwa sioni mgombea wa kipande hii kura yangu itaharibika tu.

Last edited by a moderator:

Hapo sasa umenena Chimbuvu, huyu dada Madame B anafaa sana kwa hii nafasi
 
Last edited by a moderator:
Usijali shem wangu, tena beba familia yote kwenda kupiga kura, afu mkataze yule binti yako mjamzito charminglady asigombee atamdhuru mtoto tumboni

Hivi wewe unajua nina mabinti wangapi? wewe unamjua charminglady tu, kwa taarifa yako kuna tishio zaidi @Wiswlady na sweetlady, sijataka kuwaleta wajitokeze najua kura zote watachukua, baba yao watu8 ameona tusiwalete haraka kwenye mashindano, kaka yao Davie S.M anawatunza dada zake ipasavyo mbwa mkali pia yupo.... sasa hapo Baba V umeona ukubwa wa familia yangu?
 
Last edited by a moderator:
it is unfortunate that no contestant from Arusha kama kawaida ya miss chitchat........................ ngoja niwaambie warembo wa Arusha wapunguze nyama choma watengeneze figure manake hii sasa hatari
 
Nawaita PakaJimmy, Mungi, zomba, Filipo nitonye Mamzalendo, marejesho Erickb52, Arushaone, Mamndenyi, Bishanga, Dena Amsi, Mr Rocky , FP Lily Flower, mwaJ snow white sweetlady, watu8, measkron, HYGEIA Husninyo, AshaDii, The Boss, Mphamvu, Paloma, zubedayo_mchuzi, Ruttashobolwa, gfsonwin, King'asti, Kongosho, Kaunga, Smile, platozoom, ndetichia, BADILI TABIA, BAK Asprin Mtambuzi Rejao, Dena Amsi, Nicas Mtei, Dark City, Mzee wa Rula, Kijino, nivea, giLESi, mary hunbig, stevoh na wengineo mje hapa mumpigie kura Arabela awe miss chit chat wa mwaka 2012, ni binti mrembo,mtaratibu,mwenye nidhamu na anawapenda wana chit chat wote kura ni kwa Arabela aaaaa

tatizo kila mmoja namuona anafaa itabidi nitoe kula yangu siku ya mwisho ili kumfanya aliongoza ashinde..
 
Nawaita PakaJimmy, Mungi, zomba, Filipo nitonye Mamzalendo, marejesho Erickb52, Arushaone, Mamndenyi, Bishanga, Dena Amsi, Mr Rocky , FP Lily Flower, mwaJ snow white sweetlady, watu8, measkron, HYGEIA Husninyo, AshaDii, The Boss, Mphamvu, Paloma, zubedayo_mchuzi, Ruttashobolwa, gfsonwin, King'asti, Kongosho, Kaunga, Smile, platozoom, ndetichia, BADILI TABIA, BAK Asprin Mtambuzi Rejao, Dena Amsi, Nicas Mtei, Dark City, Mzee wa Rula, Kijino, nivea, giLESi, mary hunbig, stevoh na wengineo mje hapa mumpigie kura Arabela awe miss chit chat wa mwaka 2012, ni binti mrembo,mtaratibu,mwenye nidhamu na anawapenda wana chit chat wote kura ni kwa Arabela aaaaa

Hivi Miss maana yake Mwanamke ambaye hajaolewa? Ama? Sasa mmeweka mimama mizee kama DA eti Miss mmmmhhh mmechemka mbaya sana aisee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom