Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Nawaita PakaJimmy, Mungi, zomba, Filipo nitonye Mamzalendo, marejesho Erickb52, Arushaone, Mamndenyi, Bishanga, Dena Amsi, Mr Rocky , FP Lily Flower, mwaJ snow white sweetlady, watu8, measkron, HYGEIA Husninyo, AshaDii, The Boss, Mphamvu, Paloma, zubedayo_mchuzi, Ruttashobolwa, gfsonwin, King'asti, Kongosho, Kaunga, Smile, platozoom, ndetichia, BADILI TABIA, BAK Asprin Mtambuzi Rejao, Dena Amsi, Nicas Mtei, Dark City, Mzee wa Rula, Kijino, nivea, giLESi, mary hunbig, stevoh na wengineo mje hapa mumpigie kura Arabela awe miss chit chat wa mwaka 2012, ni binti mrembo,mtaratibu,mwenye nidhamu na anawapenda wana chit chat wote kura ni kwa Arabela aaaaa


Mbona mwanipa mtihani?? Haya mwenye dau kubwa atoe nimpe kura mtu wake!!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona mwanipa mtihani?? Haya mwenye dau kubwa atoe nimpe kura mtu wake!!!

Mkuu Rejao huyo mkongomani Chimbuvu alichofanya ni ku copy ,paste na ku edit post yangu, hivi nawasiliana na mawakili wangu ili hatua muafaka zichukuliwe dhidi yake, mpigie kura Arabela
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Rejao huyo mkongomani Chimbuvu alichofanya ni ku copy ,paste na ku edit post yangu, hivi nawasiliana na mawakili wangu ili hatua muafaka zichukuliwe dhidi yake, mpigie kura Arabela
Kwa stahili hii ya kucopy inabidi na posts zetu ziwekewe copy right kwa kweli!! Usijali mkuu, kura yangu ameshaipata!!
 
Last edited by a moderator:
Ikiwa kama ndo unafungua huu uzi,tupo katika kinyang'anyiro cha kumpata jf miss Chitchat 2012,itumie kura yako kwa kumpigia Madame B
 
Last edited by a moderator:
Huu ni ubaguzi wa wazi na dhahiri.
Kwanza ni vigezo gani ulivyotumia kupata hao warembo hapo juu, na kwa nini jina langu na la lara 1 halipo kwenye hicho ulichoita 'NAFASI YA UPENDELEO'?

Hapa lazima nipige kampeni ya kususia huu mtanange, mpaka utupe majibu ya kina.

Hii haikubaliki kabisa kijana.
afu walopewa nafasi za upendeleo sasa ....
 
Chimbuvu naona Madame B papaa mutu ya bukavu pedeshee utakuwa ushaanza mambo ya chini chini
 
Last edited by a moderator:
Mh Zitto naomba uje utoe stress kwa kupiga kura yako ya kumchagua jf miss Chitchat 2012 ,mpigie kura Madame B.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom