Ruhazwe JR kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri na ya ubunifu..
Pili kwa kunipa nafasi ya upendeleo... Asante saaaana!!!!
Wadau namsaka kampeni manager!!!! Aliye tayari ajitokeze......
Huu ni ubaguzi wa wazi na dhahiri.
Kwanza ni vigezo gani ulivyotumia kupata hao warembo hapo juu, na kwa nini jina langu na la lara 1 halipo kwenye hicho ulichoita 'NAFASI YA UPENDELEO'?
Hapa lazima nipige kampeni ya kususia huu mtanange, mpaka utupe majibu ya kina.
Hii haikubaliki kabisa kijana.
Yeah..... Nilimisiwa mpaka najionea wivu LOL:becky:
kweli aanzishe miss bantu
Wewe pumzika tulelee mwanetu, usijetuzalia mtoto mcharuko bure, kura mpigie Arabela
Tuko pamoja kaka na hata sijui kwa nini nikiliona au kusikia hili jina mwili unanisisimka kwa raha